Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila mm mwenzenu roho inaniuma sn hawa jamaa kuchukua hii tenda, ofcz inatakiwa tu focus sn kwenye cargo plane zen tupambane tupate permit za kuingiza ndege zetu huko ulaya au hii imekaaje wajuzi.
Hilo unalosema ni mpaka tuwe na cargo planes! So far hatuna japo nimeona budget hii fedha zimetengwa kununua ya kwanza! Na upatikanaji wa za kukodi ni mbinde kipindi hichi cha Corona ila zikiwepo tutachukua biashara! Hatuwezi kusubirisha fursa kisa hatuna cargo planes! Samaki na nyama vinapaswa kufika ulaya, Uchina na Uarabuni baba na ET ni the cheapest airline in the region with uncomparable extensive network!
 
Usiamini ktk hilo ndugu, tm zetu hz cvyo km mnavyozifikiria, unasema ipo mbali sn kwa Yanga unamaanisha nini kwamba tayari ina stadium?.

Au imechukua kombe la Afrika? Au unamaanisha mbali kvp mana cjakuelewa kabisa mkuu na napata tabu kuelewa hii mentality mana mashabiki wengi wameikalili hii, wamechanganywa na treble ya ligi kuu wakasahau kwamba hata Yanga imefanya hivyo juzi tu hapa, hz tm zetu ndivyo zilivyo mwaka huu huyu baadaye huyu pia kutegemea na uongozi uliopo pale tff but usijiongopee kabisa kwamba simba imeizd Yanga yn usiote kabisa mkuu, haipo hyo na haitakuja kutokea hz tm zizidiane kiivyo.

Hii ilitokea hata kipindi kile Yanga ina treble tulikuwa tunasema hivyo hivyo kwamba Yanga imeiacha mbali sn Simba but ukweli haukuwa hivyo miaka michache iliyofuata ndio hv tunavyoona ss, so msijiongopee kabisa ndg na km huamini subiri mwaka huu muone, japo kuna hujuma zitakazoendelea kutokana na uongozi pale tff but mpira utaonekana uwanjani tuombe uhai.
Nafurahi kuona Yanga sipo peke yangu humu😁😁😁🇹🇿
 
Huyu mtuNi illiterate aje jamani?Your comments always prove you are a fool and ignorant,With A GDP difference of over 37bln$ you are still dreaming of overtaking Kenya in 2025,or do you think that there are no development in Kenya.Sometimes when you comment on a thread try to involve your brain.Ama pia wewe unataka kuongea tu Bora umechangia
That's why we opened this battle, the aim is you to show us ur level of development which we don't have and we to show you what we have that u don't, but I can see nowadays you kunyans have nothing to show rather you have developed a new technique which is to show us renders day and night which simply means we have already defeated you up and down right and left.
 
Back
Top Bottom