Tuko wengi mzee baba.Nafurahi kuona Yanga sipo peke yangu humu😁😁😁🇹🇿
Tuko wengi mzee baba.Nafurahi kuona Yanga sipo peke yangu humu😁😁😁🇹🇿
sasa kenya wako wapi??😂😂😂au ndio zile hotel za 20$ per night za masai mara zimewaponzaInauma itabidi wazoeee
View attachment 1557910
Kumekucha kumekuchaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hebu njooni muone wakenya wanaojiita wasomi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1557935
Hapa eneo la SADC liko vizuriHebu njooni muone wakenya wanaojiita wasomi. 🤣 🤣 🤣
View attachment 1557935
Hebu njooni muone wakenya wanaojiita wasomi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1557935
Mkuu fingulia uzi hii[emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha!! Pupili -Techer Ratio
Tanzania ina walimu wengi kuliko kenya. Ndio maana wakenya wengi hawajui kusoma na kuandika
View attachment 1557944
Katika kitu cha msingi ambacho Baba wa Taifa alifanya ni kutuunganisha na kuondoa Ukabila,kama umewahi kutembelea nchi nyingine za Africa utaona utofauti mkubwa tuliokuwa nao....hebu angalia tunavoshangilia mpira bila bugdha,hebu fikiri vijiwe vyetu vile vya kahawa unaingia bila kubisha hodi,,hebu fikiria Siasa zetu tulivyo hatupigani,hebu fikiri ukisafiri ndani ya Tanzania unavopokelewa kwa ukarimu,ukipanda daladala watu wanavosemezana hata km hawajuani,Sifa na utukufu ni Kwa Mungu Mkuu.Tanzania inapendeza.Yaani Mungu huwa anatuepusha na mengi,mojawapo ni hili,yaani ingekuwa tunabaguana kwa ukabila Kama Hawa wajinga.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122]Asilimia kubwa ya wakenya wanaishi vijijini na maporini [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1557953
[emoji23][emoji23][emoji23]maporiniiii[emoji23][emoji23]Asilimia kubwa ya wakenya wanaishi vijijini na maporini [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1557953
Ndio maana wakiingia nairobi wanatubia flying toilet......[emoji23][emoji23][emoji23]maporiniiii[emoji23][emoji23]