Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20200902-224045.png

The best 007 samahani.
 
Iyo pesa inaweza fanya maajabu mengi tu
Saanaa kaka yn kiukweli maisha bado hayajakaa sawa kivile kwa mTz lkn kwa yanayofanyika kwa ss mwanga upo huko mbeleni cz ili maisha yawe vzr ni lazima serikali iwe na uwezo wa kumhudumia mwananchi na co kuwategemea private sectors pekee cz wao wanalenga zaidi profit na hii ndiyo raha ya mixed economy kwa hz nchi zetu za developing.
 
Sure
 
Back
Top Bottom