Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Kama watafika ngerengere tar 15 ....watakuwa wamepiga hatua kubwa sn...kiufupi mwaka hauta isha...kazi itakuwa imekamilika
Kama watafika ngerengere tar 15 ....watakuwa wamepiga hatua kubwa sn...kiufupi mwaka hauta isha...kazi itakuwa imekamilika
Wanasumbuliwa na shobo wakati hizo picha nilimtumia African fact bila kuweka stickers zozote [emoji23][emoji23][emoji23]wameweka stickers za nn? kwan picha zao? wakenya bana
[emoji122][emoji122][emoji122]Wanasumbuliwa na shobo wakati hizo picha nilimtumia African fact bila kuweka stickers zozote [emoji23][emoji23][emoji23]
Si washasema "Apparently God lives in Tanzania & visits Kenya occasionally" au hawaamini kama pete ya mfalme Suleimani ilitumbukia pale Kilimanjaro na ipo pale mpk leo[emoji3][emoji3]The world is still stirred by Tz
Katika kipindi ambacho Tz imeheshimika duniani basi ni hiki ambacho tuna rais mwenye vision, na la zaidi ni jinsi tulivyoipiga covid-19 yn hawaamini na hawatakaa waamini.
Alafu huyo dada ni news anchor wa Tv moja ya Uganda!Katika kipindi ambacho Tz imeheshimika duniani basi ni hiki ambacho tuna rais mwenye vision, na la zaidi ni jinsi tulivyoipiga covid-19 yn hawaamini na hawatakaa waamini.
Alafu huyo dada ni news anchor wa Tv moja ya Uganda!