Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Airbu A220 mbili
dreamliner 787 moja
boeing 767 freight moja
bombadier q400 mojq
I wish wangefanya kitu kinaitwa fleet commonality inasaidia sana kwenye maintenance na pilot training.
Kwa mfano badala ya Boeing 787 wangenunua Airbus A330neo zipo same class na hiyo B-787 ili fleet nzima iwe Bombardier/Airbus.
Au kama wangeenda na Boeing wangenunua ndege za Embraer/Boeing kama KQ.
 
dreamliner (Boeing) si nyingine ipo tayar? so ni kitu kilekile

pia hajasema ni zipi (brands) zitanunuliwa 2020-2025
kasema tu
- mbili za masafa marefu
- mbili za masafa ya kati
- moja ya mizigo
 
Waendelee na Boeing ziko poa sana hata airbus bado ni ndege za uhakika
 
I wish wangefanya kitu kinaitwa fleet commonality inasaidia sana kwenye maintenance na pilot training.
Kwa mfano badala ya Boeing 787 wangenunua Airbus A330neo zipo same class na hiyo B-787 ili fleet nzima iwe Bombardier/Airbus.
Au kama wangeenda na Boeing wangenunua ndege za Embraer/Boeing kama KQ.
Wacha ujuaji
 
IMG_1598734752.790338.jpg
 
dreamliner (Boeing) si nyingine ipo tayar? so ni kitu kilekile

pia hajasema ni zipi (brands) zitanunuliwa 2020-2025
kasema tu
- mbili za masafa marefu
- mbili za masafa ya kati
- moja ya mizigo
Ndo hizo alizotaja cicero
 
I wish wangefanya kitu kinaitwa fleet commonality inasaidia sana kwenye maintenance na pilot training.
Kwa mfano badala ya Boeing 787 wangenunua Airbus A330neo zipo same class na hiyo B-787 ili fleet nzima iwe Bombardier/Airbus.
Au kama wangeenda na Boeing wangenunua ndege za Embraer/Boeing kama KQ.
kq inamiliki ndege 3 tu chakavu zingine zile ni leased aircrafts sasa hatuwez fanana coz sisi tunanunua cash wao ni leased hata ukiangalia kampuni imekufa na sababu ndio hio, kwahio anaenunua siku zote anahiari ya kununua chochote kulingana na vigezo
 
Zamani nilipanza kudili na wakenya nilifikiri ni baadhi tuu wenye tabia za kishamba shamba, la hawla lakatwa! Kumbe wengi wako hivyo (kama 95% hivi). Hawa watu ni kama nguruwe aisee, huwezi kudili nao kistaarabu mkaelewana, inabidi nawe uwe mchafuchafu.
 
kq inamiliki ndege 3 tu chakavu zingine zile ni leased aircrafts sasa hatuwez fanana coz sisi tunanunua cash wao ni leased hata ukiangalia kampuni imekufa na sababu ndio hio, kwahio anaenunua siku zote anahiari ya kununua chochote kulingana na vigezo
Lete hzo 47 tuli lease wapi
Leo najiskia ulielie sana, haya twende sasa..
Nasubiria ushahidi wa hzo 47 km tuli lease wapi na ni mwaka gani, zipi
 
Back
Top Bottom