Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lete hzo 47 tuli lease wapi[emoji23][emoji23]
Leo najiskia ulielie sana, haya twende sasa..
Nasubiria ushahidi wa hzo 47 km tuli lease wapi na ni mwaka gani, zipi[emoji382][emoji382][emoji382]
ulivyo mbumbumbu hata historical na mwenendo wa shirika lenu la ndege linavyoendeshwa haujui endelea kubaki na ujinga wako[emoji56][emoji56][emoji58]
IMG_20200830_122921.jpg
IMG_20200830_122903.jpg
 
Hehehee!!tukileta the citizen sisi mnasema zimeandaliwa na wakenya..
Sasa na mimi sitaki vitu vilivyoandaliwa na mtanzania, ama na mm nilete vya wakenya uanze kulialia hapa[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382] kwahio na hawa knight frank ni citizen siyo.....utaumia sn na naona wasani wenu wankimbilia nchi ya asali kuokota senti[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20200824-131528.jpg
 
Lete hzo 47 tuli lease wapi[emoji23][emoji23]
Leo najiskia ulielie sana, haya twende sasa..
Nasubiria ushahidi wa hzo 47 km tuli lease wapi na ni mwaka gani, zipi[emoji382][emoji382][emoji382]
so umekasirika na labda unioneshe mulinunua wapi na lini 😂😂😂
 
so umekasirika na labda unioneshe mulinunua wapi na lini [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzako kaweka ripoti isiyoendana na ulichokiandika, sasa kw kikao km chairman utamfanyaje
Mi naonelea asipate posho yake
 
wanajifanyaga shingo ngumu kuhusu corona na kuwafata mabeberu, ngoja tuwauzi kwa video na mapicha picha kama hizi [emoji23][emoji23]


sema nn.. mim mwenyewe nashangaa mataifa mengi yanaangaika na corona ila sisi hatuna habari nayo [emoji23][emoji23].. corona is a scam [emoji23]
 
Back
Top Bottom