Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeme wenyewe kama nimemsikia utakua wa megawati buku moja tuu... Hivi bwawa letu la nyerere ni megawat ngap vile???? Haaahahaaa raha sana
2100mw... nuclear ni most expensive kujenga ingawa ndo chepaest ku operate..ni project nzuri ila kenya hawana hela kujenga labda wakope au wachukue eurobond
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe na ww ulitak kuja apa kurukaruka n kiramani cha 2017 wakati 2020[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafikiri ww ulistahili kuendelea kufich iyo kichwa km mwenzioView attachment 1551414
Lete wewe hicho cha 2020 tz ikiwa mbele ya nai[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lete wewe hicho cha 2020 tz ikiwa mbele ya nai[emoji23][emoji23][emoji23]
H3bu angalia vitu kama hivi....unadhani nyie mtaitishia dar ?
Screenshot_20200824-131528.jpg
Screenshot_20200827-200458.jpg
 
Back
Top Bottom