Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hai
umekuja kwa pupa sana. kesi ilishaamuliwa na ni kwamba Nairobi iko juu. Darislum wamesema tuwape mji wa Kampala au Lusaka.
Haitokuja tokea na ndani yahi miaka ya Magufuri sahau mkuu itakula kwako tena sanaaaaaaaaa
 
Tazara flyover....kazi inaendelea kwa speed kubwa sana
20170617_141229(0).jpg
20170617_141223.jpg
 
Tunataka kuja kucheza huu mchezo Nairobi. Niwapi mnapendelea kuucheza kwa Nairob
FB_IMG_1497490776334.jpg
FB_IMG_1497490791643.jpg
FB_IMG_1497490802584.jpg
FB_IMG_1497491731661.jpg
i
 
Baada yamaangaiko yangu kwenye nchiyangu pendwa Tanzania nipo Dar es salaam. Wale wakibera mnitafute kwa mdawenu niwapunguzie tatizo la njaa Kenya.
FB_IMG_1496598693765.jpg
 
Dar es salaam Next door club. Nairobi hakuna club yenye swimming pool. Nijasho mwanzo mwisho.
FB_IMG_1497489174856.jpg
FB_IMG_1497489066645.jpg
FB_IMG_1497489188990.jpg
FB_IMG_1497489085323.jpg
FB_IMG_1497489159559.jpg
FB_IMG_1497489125730.jpg
 
KIBERA slum
one of the biggest in Africa
8cd207773b78166753fc8964db54ed75.jpg

919cc5c07ba6a2fdc8f9400a780af603.jpg
c4de752dbfce4f2e066697ddb532e845.jpg

MATHARE hapavumi Ila pako poa
725d287d1c0bcd28b5affea1c6585b56.jpg
e59d728ec07d08e440dbaae6ac6db7b1.jpg
Hata buguruni haipo hivi
Ndio nakupa mfano huo sasa usishangae kuskia economy ya kenya imeshikwa na wawekezaji kwasababu kenya inamilikiwa na watu wachache tu na hilo liko wazi niliwah kufika mombasa maeneo ya bamburi nikaoneshwa nyumba ya uhuru kenyatta nilishika kichwa yani kiwanja kikubwa sana tena sana sikuamini
 
Kiwanda cha Keds Tanzania Ltd watengenezaji wa Kleensoft detergent .Kiwanda kikubwa East and Central Africa cha kutengeneza sabun chapili baada ya cha Ghana. Kutengeneza direct employment 1500 na indirect 2500. Kiwanda cha awamu ya Magufuri. Tunaposema Tanzania ya viwanda wakenya waelewe. Magufuri Huyo just in two years.View attachment 525644 View attachment 525646 View attachment 525647 View attachment 525639
What you guys are trying to do right now is catch up. Kenya was industrialized in the 70's and 80's. It's new to you that is why you are showing off thinking its a big deal. Come yo Nairobi there is an area called Industrial area and Ruaraka. You have no idea how many go downs/companies are there. Let alone mombasa road, athi river, all the way to mlolongo. Don't even start to talk of thika which is an industrial town. Nakuru je? Dude why do you think Kenya has a higher GDP in the first place anyway.
 
Mbona Kenyatta anadai anampango wakufufua viwanda vilivyo kufa Kenya? Also we were industrialised since 1960s. Muulize Kenyatta kama akununua kiwanda cha maziwa Arusha baadae alingoa mitambo ya kiwanda nakuipeleka Kenya kwenye kiwanda chake cha Brookside. Muulize alikinunua mwaka gani? Serikali ya magufuri imewaandikia kampuni ya Brookside iludishe hiyo mitambo .. Nakwa taarifa yako toka ameingia Magufuri mkoa au county ya Pwani pekee wamewekeza viwanda 205 nabado wawekezaji wana miminika. Ukitaka na weza kukupatia list yote ya viwanda vya Pwani pekeyake bila mikoa mingine vya hi awamu ya Magufuri
 
Mbona Kenyatta anadai anampango wakufufua viwanda vilivyo kufa Kenya? Also we were industrialised since 1960s. Muulize Kenyatta kama akununua kiwanda cha maziwa Arusha baadae alingoa mitambo ya kiwanda nakuipeleka Kenya kwenye kiwanda chake cha Brookside. Muulize alikinunua mwaka gani? Serikali ya magufuri imewaandikia kampuni ya Brookside iludishe hiyo mitambo .. Nakwa taarifa yako toka ameingia Magufuri mkoa au county ya Pwani pekee wamewekezaviwanda 205 nabado wawekezaji wana miminika. Ukitaka na weza kukupatia list yote ya viwanda vya Pwani pekeyake bila mikoa mingine vya hi awamu ya Magufuri
What you guys are trying to do right now is catch up. Kenya was industrialized in the 70's and 80's. It's new to you that is why you are showing off thinking its a big deal. Come yo Nairobi there is an area called Industrial area and Ruaraka. You have no idea how many go downs/companies are there. Let alone mombasa road, athi river, all the way to mlolongo. Don't even start to talk of thika which is an industrial town. Nakuru je? Dude why do you think Kenya has a higher GDP in the first place anyway.
 
Back
Top Bottom