Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaonekana Kenya niwajenzi wazuri wakutumia tope. Sijawahi on slum iliyojengwa na tope duniani zaidi ya Kibera. Inaonekana wanaugomvi sana na Cement.
Hii nikenya au!!
793ebd409bb13164418b9789407bd87f.jpg
 
Kibaki raisi mstaafu wa Kenya alipo kuja Dar es salaam kushangaa Kofia ngumu za pikipiki zinazo tengenezwa na wafungwa hapa Tanzania. Is this real made by prisoners of Tanzania.??
FB_IMG_1497491317175.jpg
 
Mbona Kenyatta anadai anampango wakufufua viwanda vilivyo kufa Kenya? Also we were industrialised since 1960s. Muulize Kenyatta kama akununua kiwanda cha maziwa Arusha baadae alingoa mitambo ya kiwanda nakuipeleka Kenya kwenye kiwanda chake cha Brookside. Muulize alikinunua mwaka gani? Serikali ya magufuri imewaandikia kampuni ya Brookside iludishe hiyo mitambo .. Nakwa taarifa yako toka ameingia Magufuri mkoa au county ya Pwani pekee wamewekezaviwanda 205 nabado wawekezaji wana miminika. Ukitaka na weza kukupatia list yote ya viwanda vya Pwani pekeyake bila mikoa mingine vya hi awamu ya Magufuri
First answer me, why is Kenya's GDP higher than Tanzania’s
 
Back
Top Bottom