umekuja kwa pupa sana. kesi ilishaamuliwa na ni kwamba Nairobi iko juu. Darislum wamesema tuwape mji wa Kampala au Lusaka.Kuna Mkenya nimeona akidai kuwa hizi villas 500 zinazojengwa Zanzibar ni dormitories. Sio kweli ni detouched house. Kila mtu anaishi kwenye nyumba yake. Hakuna mambo yakutumia geti moja. Kuibiana nguo. Kusengenyana.View attachment 525588View attachment 525589 View attachment 525590
Ati ya sabuni?????? HahahahhahahhahhahahaKiwanda cha Keds Tanzania Ltd watengenezaji wa Kleensoft detergent .Kiwanda kikubwa East and Central Africa cha kutengeneza sabun chapili baada ya cha Ghana. Kutengeneza direct employment 1500 na indirect 2500. Kiwanda cha awamu ya Magufuri. Tunaposema Tanzania ya viwanda wakenya waelewe. Magufuri Huyo just in two years.View attachment 525644 View attachment 525646 View attachment 525647 View attachment 525639
Hakuna siku ukaacha kutapikaumekuja kwa pupa sana. kesi ilishaamuliwa na ni kwamba Nairobi iko juu. Darislum wamesema tuwape mji wa Kampala au Lusaka.
Unabisha au unakataa????😀😀😱Ati ya sabuni?????? Hahahahhahahhahhahaha
Tunakumbushana tu kibera ndio makao makuu ya slum duniani, korogocho Na mathare Ni miji muhimu katika iyo idaraSi lazima wazungu waseme ni fact dar 92% slum...![]()
Samahan mkuu,we Ni kada wa chama?Kiwanda cha Sayona T ltd. Nikiwanda chakutengeneza juice. Direct employment 3000 anajenga pia kiwanda cha Cement kitacho ajili watu 2500 pamoja na shule. Kitakuwa kiwanda cha kisasa with the best technology. Kinajengwa awamu ya Magufuri. Tanzania na serikali ya viwanda Magufuri hoyeeeView attachment 525659 View attachment 525661 View attachment 525662 View attachment 525664 View attachment 525659