Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

English Marina point bado sijaona hoteli inaifikia hapa east Africa. ....most of those Zanzibar ones are resorts with a beautiful scenery to complement.
 
English Marina point bado sijaona hoteli inaifikia hapa east Africa. ....most of those Zanzibar ones are resorts with a beautiful scenery to complement.
marina point inauzuri gani 😀😀😀😀😀😀 sijaona la ajabu hapo ndugu
pitia hoteli moja iko bongo inaitwa ramada resort ndio utaelewa
 
Use your common sense. If the economy of kenya in 2015 was $70 bn and registering a growth every year what could be the economy by now... Hata mtoto wa class 2 anaweza kukujibu so wacha kunipima akili
Economy ya Kenya ilikuwa 70bn when?
 
Zanzibar mmekimbia kwenye hoteli 😀😀😀😀
Hakuna mji kenya unaeza kimbizana kwa hoteli na beaches mbele ya zanzibar😛😛
Nairobi kwa dar bado sana ...usijipe moyo
Kisumu kwa mwanza utasaga meno sana
Arusha sio level ya nakuru maana nakuru nakupa moshi tu na hutoboi
Huko Lamu hakuna hata barabara watu husafiri kwa kupanda mikokoteni ya Punda na Ngamia
Halafu kwa umburula na ufala wa washamba wa baadhi ya Wakenya humu wanafananisha na Zanzibar
Muulizeni Mk254 amebahatika kufika pale zenji na kupata dafu pale kwenye Viunga Forodhani
 
diani sky diving
3.jpg
images.jpg
images1.jpg
maxresdefault.jpg
balala06.jpg
 
English Marina point bado sijaona hoteli inaifikia hapa east Africa. ....most of those Zanzibar ones are resorts with a beautiful scenery to complement.
Hujaona maana hutembei umejifungia tu pale mathare
 
Back
Top Bottom