Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
sidhani kama kuna mtu ana mvi hapa au nywele nyeupe. use appropriate wordsUnaweza afford hotel ya dola ngap mzee naona unabwabwaja sana
sidhani kama kuna mtu ana mvi hapa au nywele nyeupe. use appropriate wordsUnaweza afford hotel ya dola ngap mzee naona unabwabwaja sana
Mzee has nothing to do with kenyans slang1st off if you are trying kenyan slang avoid mzee and use msee
2nd ni wewe umeanza haya mambo so wewe anza kutuambia unaweza afford gani
3rd those apply for tourists. I have a place to stay, and when i tour around the country like mombasa i dont have to pay $1,000 a night when I can comfortably get a $50 maximum for a night if im staying for like 2 days but for more days $1 a night can do.
Pesa huja kwenye pesa hakuna investor anapeleka pesa kwenye hasara....investors kibao wanaingizana bongo kuja kutafut opportunities na ndio maana economy ya tz ina kua kwa speed kubwa sana😀😀😀😀😀hehe.. investors wa Kenya hao. au sio?
Hahaha kiswahili ya Tz imekurarua tayar, kashonwesidhani kama kuna mtu ana mvi hapa au nywele nyeupe. use appropriate words
😀😀😀😀 wanajua mbona kua hawatoki ndio maana mguu ndani mguu njeMzee has nothing to do with kenyans slang
2nd I can afford atleast 50$ per night as well
3rd kuhusu hotel tumewachapa za macho try other thing instead
Na ntakupa mfano haihehe.. investors wa Kenya hao. au sio?
ati sijui 'alamsiki' sijui 'kisiki'....First get the name right it's KEMPINSKI. not those names both of you are cooking up, ati kimski, mara kimsiki. Mnaharibu jina ya wenyewe.
sio wewe unayeongea hapa kuhusu Investors kila siku??? ama umesahau.Pesa huja kwenye pesa hakuna investor anapeleka pesa kwenye hasara....investors kibao wanaingizana bongo kuja kutafut opportunities na ndio maana economy ya tz ina kua kwa speed kubwa sana😀😀😀😀😀
Vyovyote ila soma umelielewa😀😀😀First get the name right it's KEMPINSKI. not those names both of you are cooking up, ati kimski, mara kimsiki. Mnaharibu jina ya wenyewe.
Ndio nakupa mfano huo sasa usishangae kuskia economy ya kenya imeshikwa na wawekezaji kwasababu kenya inamilikiwa na watu wachache tu na hilo liko wazi niliwah kufika mombasa maeneo ya bamburi nikaoneshwa nyumba ya uhuru kenyatta nilishika kichwa yani kiwanja kikubwa sana tena sana sikuaminisio wewe unayeongea hapa kuhusu Investors kila siku??? ama umesahau.
If you can't get the name right, what other detailed information can you be able to mark out...Vyovyote ila soma umelielewa😀😀😀
Sure...so tanzania is far ahead....asante kwa ukweliFyi the hotel industry in kenya os so mature, more than a century old now. The likes of stanley hotelbeing established in 1902. Hilton hotel the one you see now was built in the 50 's so there is no way you can compare the 2 cities in the hotel sector
Usitafute ligi zisizo na kichwa wala mguu😀😀😀If you can't get the name right, what other detailed information can you be able to mark out...
Unadai beef nini?nikuchafu kama boxer ya Collo
mzae wacha kudanganya. kwanza hakuna nyumba ya Uhuru Bamburi hehehehehe.... do you actually know who you are talking to????? jaribu fala ingine bangu banguNdio nakupa mfano huo sasa usishangae kuskia economy ya kenya imeshikwa na wawekezaji kwasababu kenya inamilikiwa na watu wachache tu na hilo liko wazi niliwah kufika mombasa maeneo ya bamburi nikaoneshwa nyumba ya uhuru kenyatta nilishika kichwa yani kiwanja kikubwa sana tena sana sikuamini
Mm nilioneshwa maeneo ya bamburi na mwenyej wangu....ar u the auditor of uhuru kenyata???mzae wacha kudanganya. kwanza hakuna nyumba ya Uhuru Bamburi hehehehehe.... do you actually know who you are talking to????? jaribu fala ingine bangu bangu