Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,039
- 8,170
Yeah sa hizi kina mgawanyo wa funds kwa project hizi kubwa Jnhpp .na Ku expand Air Tanzania fleet ...tungekuwa hatupigi kwa mpigo..ungeskia Nata mtwara sgr I meanza......I wish waifanye tenda Moja makutupora - isaka we will see how it will be...but ni 435km bila loop rails ukiweka zinaweza fika 200km za loops ...najua Dar-Mwanza line yote itakuwa undercosturtion before 2025..Nafikiri hata tbr to kigoma inaweza kuwa ni phase 1. Tukiendelea hivi ujenzi wake Unaweza anza 2023. Bwawa la umeme likiisha kama ilivyopangwa June 2022, nahisi serikali itaongeza kasi ya ujenzi wa reli.
Isaka-Rusumo is 371km so ni wao Rwanda kuonesha nia ..na mzee baba atafanya yake.....nahisi AFDB hawatacheza mbali na hili deal...
Hivi ATC expansion plans ni Airbus A220 2 zimebaki, Dreamliner moja ,q400 moja na 767 ya mzgo moja

