Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

He is not joking ....a real deal[emoji122][emoji122][emoji122]
Hii kwakweli ni true definition of an infrastructure giant. Lots mbili zilizobakia kwa Phase 1 zinaweza kuunganishwa kwa sababu hata ziko unganisha hazizidi km 400 na ushee.

Ningependa hii lot wapewe wavimba macho (Wa-China au Wa-Korea) ili waonyeshe hasira zao za kushindwa lots 2 za mwanzo na kujenga kwa kasi.
View attachment 1550281
 
Ila hayakuhusu. Tukitaka tutapitisha asilimia 100 na hakuna kitu mtafanya. [emoji81][emoji81][emoji81][emoji91]
Hapo ndio utajua mropokaji asiye kuwa n uhelewa wowote kweny uchumi ....akipewa nafasi ya kuongea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] wenzio wangekujua wangekupiga mawe mpka ufe
 
GoK has spent so far less than $210 mln at Lamu port!

While Kenya has poured Sh21 billion into Lapsset, the two neighbouring countries are yet to pay a single cent.

Fears that Lamu Port is the next white elephant
 
GoK has spent so far less than $250 mln at Lamu port!
Wachina wamewafikishia reli hadi Naivasha, Uganda wanawasubiri waifikishe mpakani Malaba ili nao waunganishe hadi Kampala lakini wameshindwa wameamua kuitelekeza porini. Eti miradi ya $25B wakati hata pesa ya kulipa mishahara hawana hadi wakope.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
hua tunaonesha mifano hai kwanza 👇👇


Wale wanaosema mahindi yetu yata doda wasiponunua wako wapi? Tanzania ilipotumia resources zake kuzikomboa hizi nchi za SADC,tulijua tutafaidi matunda Kama haya mbeleni,Magu aliona mbali adhari za Corona,nina hakika northeners r next! Bado WFP najua wataagiza pia.
 
yule yule japan [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] mwenye deni kubwa

Hawajawahi kufanya mradi kwa pesa ya ndani yn hawa watu hawa ni wapuuzi mno ni ombaomba wa kimataifa, wamezoea msaada mno unajua mabeberu wamewazoesha vby sn wamewajengea kila kitu so now wanatakiwa wajitegemee wanashindwa.

Ofcz kenya ndiyo itakuwa nchi ya mwisho Afrika kupata uhuru wa kweli cz ni wazembe mno na wanaitia aibu Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…