Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio mana nilimwambia naiona 4G apo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 







our lovely kibera ..sehemu kidogo tu ya nairobi.. wakati dar yote inakaa hivi







\






Mwengine huyo apo kakubali Tz hamna corona
Wajua sisi wakenya huwa twapenda kukubaliana na hali ya ukweli, sio kama nyinyi mnashindilia hata pasi[pohiytaji ushindani... mahali tz inastahili heko na hongera basi hapo tuta wapa bila kusita lakini kwa mambo ya maendelea na kwa kupiga hatua hapo tume washindia mbali zaidi aiseeeeeeeeey
Wanjala bhn, ss hiyo c ni baadhi tu ya sehemu km mnavyofanya mara nyingi kuweka picha moja angle tofauti lkn uki zoom eneo husika ni uchafu kushoto kulia
mkorintho hebu tazama video mbili nlizoziposti hapo za nairobi...video hazina filters.....
huo sio msitu ni mazingira bora....yaani kuelewa ni shida ...wat
 

Attachments

  • 1598173462535.png
    18.2 KB · Views: 22
  • 1598174573852.png
    24.4 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…