Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Hajawahi huyo😂😂😂😂😂Hivi wewe ushawahi kutoka nje ya Kenya?!!
Hajawahi huyo😂😂😂😂😂Hivi wewe ushawahi kutoka nje ya Kenya?!!
Wakenya waliojanjarukaView attachment 1545068
Just show us a street with that kind of pavement instead of all these diversionary tactics bro.Hivi wewe ushawahi kutoka nje ya Kenya?!!
Hivi majirani wanafahamu kuwa kuna watz wanaacha magari wanaotrot kutoka mkoa 1000km na ushee kuipa salute shindano la simba vs yangahuwa nasemaga.. mpira wa miguu Tanzania tunaupenda na tumeshauweka moyoni kbsa.. kilichobaki ni serikali ni kujenga viwanja kama hiv miji mikuu kwanza kama mitatu hiv.. Dodoma, Morogoro, Mbeya au Mwanza au Arusha kule
nashukuru Magu alisema, hata polepole juzi alisema secta ya michezo imehusika sana na kukua kwa uchumi, hivyo hataiacha hivhiv bila kufanya kitu awamu hii inayofuata
Wakenya mnamatatizo sana hivi unawezaje muita mtu ambaye hamjuani stupid . Haya we mwenzetu genius mi sina la kusemaYou need to be either a non-East African or a stupid East African to not realize that the commenter is a Tanzanian.No Kenyan uses the word beberu, no Kenyan doesn't know Kismayu is not a Kenyan city, no Kenyan uses the word 'school' in the middle of a Swahili sentence and no Kenyan will use the word 'nawaomba radhi' in an informal statement. lol.
![]()
Stupidity is judged based by how you reason, not a personal acquaintance.Wakenya mnamatatizo sana hivi unawezaje muita mtu ambaye hamjuani stupid . Haya we mwenzetu genius mi sina la kusema
Mkatae na huyoYou need to be either a non-East African or a stupid East African to not realize that the commenter is a Tanzanian.No Kenyan uses the word beberu, no Kenyan doesn't know Kismayu is not a Kenyan city, no Kenyan uses the word 'school' in the middle of a Swahili sentence and no Kenyan will use the word 'nawaomba radhi' in an informal statement. lol.
![]()
Huna reasoning yoyote . Much know imekujaa. Bako arrogance yakoStupidity is judged based by how you reason, not a personal acquaintance.
Business as usualStupidity is judged based by how you reason, not a personal acquaintance.
Unajua uwanja wa Mwanza wa CCM Kirumba ni rahisi sana kuwa modernized na ukawa kama wa Dar!
Why on earth are they calling our country”Tanganyika?” Illiterate cunts!Business as usualView attachment 1545186
Wasamehe bure mkuu wana msongo wa mawazo hao.Wakenya mnamatatizo sana hivi unawezaje muita mtu ambaye hamjuani stupid . Haya we mwenzetu genius mi sina la kusema
Walivyo wajinga wanatumia maneno ya kibaguzi ili kututenganisha ila hawataweza.Business as usualView attachment 1545186
If so, then you are also a certified stupid coz you are just basing on assumptions not facts!Stupidity is judged based by how you reason, not a personal acquaintance.
Ndio kitu pekee walichabaki nacho, kwa vile wamejaa ukabila wanatamani na sisi tuwe kama wao. Failed stateWalivyo wajinga wanatumia maneno ya kibaguzi ili kututenganisha ila hawataweza.
Sijui ni kwa nini Chama kinayafumbia macho haya...ilhali uwezo huo wa kufanya hvo wanao.ni mali ya CCM.. hivyo CCM wafanye namna..