Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi Lindi kwa Kenya si kama Eldoret?

Wakenya hawawezi kuwa na mji wa pembezoni umekaa hivi!


Kenya yote ni slums
 
Kumbe unaangalia mpka hotuba za uhuru[emoji23][emoji23]
Sijui lini niliangalia hotuba za chato
 
Hahaaaa hey desparate pimbi are you brugging about free wifi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]...kwaiyo huwezi jitegemea mpka upate msada bandle?..yet your blaming your gvt for taking loans....naona uko na 4G [emoji23][emoji23][emoji23]...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kushtuka, wifi zipo mpka kw matatu
 
Kama kweli ninyi mnajiamini na nchi yenu, leteni zile counties za mwisho kabisa kimaendeleo na sisi Tanzania tulete mikoa masikini ile ya mwisho kabisa, then tuone nani ana hali mbaya zaidi mara 2000 ya mwenzie
Ndio mlete basi, manake sizijui ndio leo nataka nizijue hzo towns zenu mwitu..
 
Hii picha amepost wanjala imenstua kdg kwn kuna ujenzi unaendelea hapa, je ni ujenzi gn ukiacha hiyo interchange wajuzi mnisaidie hapa[emoji116][emoji116]View attachment 1545900

hii ni upande ule jiran na mto.. upande huohuo kuna ile site camp/yard ya China Civil (wanaojenga daraja).. hapo pia wanajenga kuta za kukinga mto usiendee kupanuka zaidi kushoto na kulia
 
hii ni upande ule jiran na mto.. upande huohuo kuna ile site camp/yard ya China Civil (wanaojenga daraja).. hapo pia wanajenga kuta za kukinga mto usiendee kupanuka zaidi kushoto na kulia
Dah c mchezo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…