Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaaa!!kahata, endelea kuwalisha matangopori hvo hvo ndio wakupende zaidi..
Si wajua mwanangu ukitaka watazania wakuone wa maana unacheza na akili zao[emoji1787][emoji1787]
Hayo anayasema akiwa huko kwenu sio huku, kama mnavyopenda Bongo fleva, hata football pia mnafuatilia ya Tanzania, huko Hakuna mpira, ninyi ni kukimbia tu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mombasa road iko mombasa[emoji1787][emoji1787]kwel umechanganyikiwa mazee..
Kisha unajitia kuijua nairobi na kenya kw ujumla[emoji2957]
nikajua mombasa maana nilitaka kucheka leo 😂😂😂😂
 
Upperhill. A new entrant now joins the skyline
View attachment 1540430
View attachment 1540431
Few kilometers from upperhill [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1585207998048.jpeg
 
Dude no one knows anything about Tanzania here, acha kulazimisha vitu......ni vitu kidogo sana wakenya wanajua kuhusu Tanzania tuambiane ukweli tuache unafiki..wakenya wenyewe hawafatilii ligi ya kwao ni ya Tanzania watafatilia???hizi akili zenu mwazijua wenyewe
😂😂😂😂😂 Say it again without crying
Screenshot_20200817-214419~2.png
Screenshot_20200817-214314~2.png
 
Heheheheheeee yn cku tukigundua hii kitu wallahi ukanda huu mtatueleza vzr cz kila kitu tunacho bado hii kitu tu na kwa takribani ya jiografia ya Tanzania ni lazima mafuta yapo tena mengi kupita nchi yyte Southern, East and Central of Africa ni suala la muda tu [emoji116][emoji116]

Utafutaji mafuta na gesi asilia Singida na matumaini ya neema Tanzania

Tanzania go go goooo
Screenshot_2020-08-17-21-44-11.jpeg
 
Dude no one knows anything about Tanzania here, acha kulazimisha vitu......ni vitu kidogo sana wakenya wanajua kuhusu Tanzania tuambiane ukweli tuache unafiki..wakenya wenyewe hawafatilii ligi ya kwao ni ya Tanzania watafatilia???hizi akili zenu mwazijua wenyewe
Unasemaje!? Kama ni hivyo, kwanini
1.Magufuli akihutubia Tanzania,wakenya wanajaza server za social network kwa kujadili hotuba yake?
2.Wasanii watanzania wanaongoza kuandikwa kwenye newspaper na social media zenu,na Kama unabisha tufungue thread nikudhibitishie hili.
3.Wakenya mnajua chakula,nyanya,vitunguu,matunda n.k,vyote vinatoka Tanzania,Sasa utashindwaje kumjua baba wa familia anayekulisha?😀😀
4.Wachezaji wakenya wanakimbia njaa iliyoko kwenye ligi ya huko nakuja Tanzania ambako Kuna wanaume wengi wenye pesa.
Ni hivi, wakenya hawawezi lala bila kumtaja MAGUFULI,najua hili utapinga lakini ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom