The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Mkuu hili ni jibu la mwaka, nilitaka nimjibu lkn kwa jibu hili kwakweli mm sitoshi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mr wanjala bwana, hebu define basi ( Village Mentality)
Je ni kuhusu Hawkers?
Hata kwenu wapo
View attachment 1531956
View attachment 1531957
View attachment 1531958
View attachment 1531959
Kujazana kwenye Bus? Noma sana kuja jiji la First word nilikua sihangaiki kushikilia popote nimebanwa mpaka nafika na support ya walionikandamiza .
View attachment 1531971
View attachment 1531972
But you are someone from here?
View attachment 1531985
View attachment 1531986
View attachment 1531987
View attachment 1531989
View attachment 1531990
Acha wenge usichanganye picha, cku hz dar flyover zpo nyingi acha kupagawa budaa[emoji3][emoji3]Lakini Wabongo kwa hili ntawapa pongezi. Mmejaribu. Hapa Ubongo.
View attachment 1531994View attachment 1531995
Nataka credible source na co mdomo wako9 AUG 2020,hahaha,
Tulia wanjala flyover znakuja nyingi, kwa ss nnazozijua u/c ni mbili ya chang'ombe na ya uhasibu, najua zpo zingine wajuzi watatuambia.Thanks for correcting
Dah ss mpk mwalimu naye anatusi kweli jmn.Hahahahaha. We na nyege zako kanyegeze!!!
Umefanya haraka kui expose mkuu, waya km huu huwa tunawaacha waseme wao af tunawaumbua, ushanikimbizia kuku wng mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Hii road ipo Cairo,ingekua hapo kenya wangesema ndio best duniani[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1532189
Majengo yako poa ila toeni iyo miuzi ya spider juu inaharibu muonekano.Let one be informed that using outdated pictures does not change the fact that Upperhill Nairobi is the most beautiful business district in Africa
View attachment 1532314View attachment 1532315View attachment 1532316
Such an old clip, Upperhill is empty, Parliament and CBK towers are missing and many new buildings such as Montana in downtown are missing.hapo ni wapi mamaa...?
Nimepita hapa leo nimepapenda sn wameweka nguzo za zege za umeme yn dah hili eneo linavutia sn, nadhani miaka michache ijayo hii itakuwa threat ya posta.
Huu ni uchafu wacha excuses.You will never find any industrial area like the one you are posting here in Dar es Salaam. A whole stretch from JKIA TO ATHIRIVER TO MACHAKOS TO ISINYA. All those are factories. I think you must BE insane.
View attachment 1532397
Jiji letu linapedeza sana.[emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1532887View attachment 1532888View attachment 1532889View attachment 1532890View attachment 1532891
Mkuu karibu sn umalize mchezo washakubali hawa, ss wakenya mmekwisha mwenyenyumba huyoo karudi [emoji3][emoji3][emoji3]Guys. Nimerudi sasa humu.
Tangu tuanze kupambana na hawa jamaa. Naona sasa wamelegea.
Nimekaa huko kwa muda. Nimeyaona mengi na kuyajua. Tumewapita mbali sana. Wakenya wanashida mno.
Ndo nlitaka nimnotify kwmb kiti chake alikikalia ichoboy so now karudi itabd tupige kura [emoji3][emoji3][emoji3]tatizo annael uliondoka bila kuaga ikabidi kijiti cha uenyekiti nichukue mm huku katibu mkuu akiwa geza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huu ushuzi nliouona humu c mchezo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I LOVE NAIROBI MEGA CITY
Ila naona imesimama ujenzi kwa muda cjajua tatizo ni nn au ndo uchaguzi.View attachment 1533176
Hii kitu ni hatare sana sijui na yenyewe wataiwekea taa za kumeremeta kama daraja la kigamboni au vipi? Naamini likikamilika litabadili muonekana wa eneo hilo kwa kiasi kikubwa.
Inawezekana labda kuna changamoto kidogo. But hope litakamilika mapema before this year end!Ila naona imesimama ujenzi kwa muda cjajua tatizo ni nn au ndo uchaguzi.
Tuletee video ya cbd dar tuone vichochoro tufurahike kiasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I LOVE NAIROBI MEGA CITY