kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
Juakaki style highway, hahaha😀😱 😅
Juakaki style highway, hahaha😀😱 😅
tulia sindano ipenye😂😂😂Juakaki style highway, hahaha😀😱 😅
Nauliza, Dar es Salaam ina City Center!?????Juakaki style highway, hahaha😀😱 😅
Design yake iko poa. I believe wanapojenga ni Waturuki ama!?ukiacha circular columns, ila desgn inafanana kinoma!
Hapana Mchina ndiye anajenga yule aliyejenga SGR yenyu!Design yake iko poa. I believe wanapojenga ni Waturuki ama!?
nimecheka

hawa watu watapiga maktaimu sana.....Mabeberu yameanza kuwapanda ....huku wakikiri Magu ni baba lao.Huyu manzi mlete huku tumfanyie kazi...huko mbegu zenu hafifu SAANAUpperhill Nairobi looking really good.
View attachment 1532311
Spider web haijaacha ilo jengo salama....manyaya yametapakaa utazani ujenzi unaendelea.Let one be informed that using outdated pictures does not change the fact that Upperhill Nairobi is the most beautiful business district in Africa
View attachment 1532314View attachment 1532315View attachment 1532316
Kidole cha kati hicho...
Haina ....mana mnajifanya hamnazoNauliza, Dar es Salaam ina City Center!?????
🤣🤣😂😂😂😂😂 I see slums everywhere not a single industry hereYou will never find any industrial area like the one you are posting here in Dar es Salaam. A whole stretch from JKIA TO ATHIRIVER TO MACHAKOS TO ISINYA. All those are factories. I think you must BE insane.
View attachment 1532397

The real middle finger country
hii kitu nimeona mchana, imenichekesha sana.. yani Kenya imeruhusu raia wa USA kuingia kwao.. ila USA wanawaona kenya ni sehem hatar kutembelea.. meanwhile kenya wametufungia Tanzania , ila pia USA wameturuhusu sisi kwenda kwao
Wao wanaona sisi kuwa na misimamo wetu kwa kujiamlia mambo,wanatufanya wajinga,Nyerere aliona mbali kwa hawa wazungu kwamba sio watu wazuri.Funny enough,walikuwa wakiwasifia jinsi wanatoa updates,Sasa hivi wamewageuka na kuanza kuwanyanyapaa,alafu,balozi wa marekani alisema Tanzania is safe, yaani,wakenya wasipojifunza kwa hili,na kuacha kutawaliwa na wazungu,ndio Basi tena.Kidole cha kati hicho...
Wao wanaona sisi kuwa na misimamo wetu kwa kujiamlia mambo,wanatufanya wajinga,Nyerere aliona mbali kwa hawa wazungu kwamba sio watu wazuri.Funny enough,walikuwa wakiwasifia jinsi wanatoa updates,Sasa hivi wamewageuka na kuanza kuwanyanyapaa,alafu,balozi wa marekani alisema Tanzania is safe, yaani,wakenya wasipojifunza kwa hili,na kuacha kutawaliwa na wazungu,ndio Basi tena.

...yaani wamemsifia mkenya kuwa endelea kutoa takwimu za virusi tuko pamoja na ww..we twanga takwimu za uongo tutasimama na ww... imefika Mkenya anataka kurusha ndege zake..Mmarekani a.k.a MJUMBE uyo kapenya..anakwambia nyie mna virusi vingi tulieni uko uko hatutaki shobo..Dah,la WAJUMBE baba,acha kabisa😅😅Ujue wamarekani nawafananisha na WAJUMBE...yaani wamemsifia mkenya kuwa endelea kutoa takwimu za virusi tuko pamoja na ww..we twanga takwimu za uongo tutasimama na ww... imefika Mkenya anataka kurusha ndege zake..Mmarekani a.k.a MJUMBE uyo kapenya..anakwambia nyie mna virusi vingi tulieni uko uko hatutaki shobo..