Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Nimechukua muda? 😂😂😂😂😂 naongea kiingereza kama niongeavyo Kiswahili. Sio tatizo kwangu kabisa. Anyways....hauna jibu la muhimu so dawa imekuingia vilivyo. Pole kwako.Ooh hii ni English,, hahaha naona umechukua muda ku construct sentence, pole baba,






