Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhuru park Nairobi Kenya.
We create what we don't have.
IMG_20200808_155549.jpg
IMG_20200808_155529.jpg
IMG_20200808_155447.jpg
IMG_20200808_155453.jpg
IMG_20200808_155306.jpg
 
Sasa kipi safi hapo!? Dar yote ni Slum kweli
View attachment 1530944
Angalia maana ya usafi Nairobi Kenya.
Ukitaka uchafu Nairobi enda Kibera sio CBD
View attachment 1530945View attachment 1530946View attachment 1530948
Nenda upper hill ukikosa machinga njoo nikuonyezh wanapo patikan tena wanalal hapohap....
Unamanisha hivi....ww huwezi ongea kitu kusu Dar....pimbi km wengine tu...pita View attachment 1531056
JamiiForums1502791627.jpg
View attachment 1531058View attachment 1531059
JamiiForums-1556857811.jpg
View attachment 1531061
JamiiForums1987739203.jpg
 
Vinavyokuja mambo gani. Miaka tano treni hamjaiona!!!! Hata stesheni pekee haijaisha, nyinyi lakini mna matatizo!??? Bado mnaimba tu, yanayokuja!!! Hii CCM ni kama iliwaendea kwa mchawi. Hata mkiambiwa ukweli. Sasa hivi mtu akienda kwenye stesheni ya kura anatafuta tu alama ya CCM. CCM NDIO ILIWAZAMISHA KIUCHUMI NA ITAWAANGAMIZA MTOKOMEE. FUNGUENI MACHO MTAFAKARI. NYINYI NI WATU SI SIZIMIZI
Ndo maana sitakagi kuwaquote, uwezo wenu mdogo sana huwezi kuelewa
 
Vinavyokuja mambo gani. Miaka tano treni hamjaiona!!!! Hata stesheni pekee haijaisha, nyinyi lakini mna matatizo!??? Bado mnaimba tu, yanayokuja!!! Hii CCM ni kama iliwaendea kwa mchawi. Hata mkiambiwa ukweli. Sasa hivi mtu akienda kwenye stesheni ya kura anatafuta tu alama ya CCM. CCM NDIO ILIWAZAMISHA KIUCHUMI NA ITAWAANGAMIZA MTOKOMEE. FUNGUENI MACHO MTAFAKARI. NYINYI NI WATU SI SIZIMIZI
Ni wazi kabisa kwamba mnajua potential ya Tz ni CCM na uongozi wake madhubuti chini ya JPM,hapa unajaribu kuturubuni ili tisiipigie kura keshokutwa.......Magu ni 5tena...na barua yenu ya msiba ni lazima ifike Kunyaland.
 
Cha kushangaza,hili sakata la ndege,niupande mmoja tu unabweka,upande huu wa bongo ni kimyaaa!!!
Kenya won’t compromise health to resume flights to Dar, says
Hili la kuminya taarifa za COVID-19 hapa Tz sijawahi kuona faida yake.tunajua katika 100 watakaopata 81 hawataonyesha dalili zozote ,14 wataugua na kupona na 6 ndio wanaweza kupoteza maisha au kupata severe attack lakini kuminya info ili mambo yaonekane yameisha ni upuuzi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom