Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahah wacha uchokozi babu TCAA wamemjibu jamaa wa KCAA hawajazuia KQ kuja Bongo huku wakinyuti kutoa landing permit hii maneno inapaswa iende mpaka January ili tuheshimiane kidogo!

Magu atakuwa anajiuliza inawezekana vip KQ iwe na permit ya kuja bongo na ATCL wasiwe na permit ya kwenda Kenya?
soon mtasikia ATCL inapewa kibali kwenda kenya
 
Dar port dangles cheaper cargo rates than Mombasa | The East African
Screenshot_20200807-160216.png
 
Back
Top Bottom