Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_0620.jpg
 
Kwn wamelazimishwa..kuna watu wanapalia pesa hapo mahali, kisha tatizo hawamiliki hata robo..
Sasa wewe msukuma ukija kuhangaika nairobi, itabidi umezidiwa na hao wamiliki wa hvyo vibanda alafu ujue wao hawaishi hko..View attachment 1529728
Sawa ila mm nashangaa hao wanaolipa chapaa ili walale kwa mavii si bora wange tàfuta karao mmoja wampige ngumi wakalala jela
 
umeandika haraka haraka hata hueleweki.. inaonyesha hujapewa tamu leo asubuhi .. The best 007 ebu mtafute huyu bibie na mpe tamu atulie... tafadhari wakilisha taifa vizur!
Mkuu huyu demu ameshakata tamaa ya maisha ni wa kumuwacha tu huyu.
Miccm yote ni mijinga kabisa.Vinakula kinyesi tu havitumii ubongo.Huwezi kureason na hivi vinyangarika na akili kama vya vifaranga
Kwa ss Wakenya wamekuwa desperate sn, wanaona jinc humu WaTz tunavyobishana yn miradi imekuwa mingi mpk hatuelewi which is which, but upande wa pili wao wana express way na ndiyo hyo hyo wanaiongelea asbh mchn jioni
 
Kwn wamelazimishwa..kuna watu wanapalia pesa hapo mahali, kisha tatizo hawamiliki hata robo..
Sasa wewe msukuma ukija kuhangaika nairobi, itabidi umezidiwa na hao wamiliki wa hvyo vibanda alafu ujue wao hawaishi hko..View attachment 1529728
Tribalism hadi kwenye mabanda ya mabati ya Kibera?? 😂😂😂😂
 
Cha ajabu ni kwamba hii nchi ya Botswana wataalam wengi wa Serkali yao ni kutoka hapa Tz,hasa kwenye mambo ya uhifadhi wanatutegemea sana na Chuo chetu cha Mweka .....nilikwenda kwenye Chuo chao cha Chobe wildlife na nilifuraishwa kuona karibu robo ya wafanyakazi ni wa wa Tz na hata mkuu wa chuo bwana Mangubuli .
 
Back
Top Bottom