Bado Wanajiuliza Shetani wao Aliwalisha Matango poli Aina ganiit’s Five Months now since March (March, April, May, June, July) and now is August. Wakenya mnatuongezea miezi mingapi mengine Corona itupige na kutuua kwa jinsi tunavyoipuuzia??
Khaaaa kibera rent ni less than 2 dollars..halafu kuna wakenya walisema eti sisi hatuwezi kodi ya kibera,eti mtu anayekaa kibera akija dar anaishi tabata🤣🤣😀😀...***** hata tandale hupati even room ambayo rent ni less than 15 dollar..wakenya hamna exposure..ati city,rent less than 2 dollars..uuuh jokes
Kwa haraka haraka ni kmKhaaaa kibera rent ni less than 2 dollars..halafu kuna wakenya walisema eti sisi hatuwezi kodi ya kibera,eti mtu anayekaa kibera akija dar anaishi tabata...***** hata tandale hupati even room ambayo rent ni less than 15 dollar..wakenya hamna exposure..ati city,rent less than 2 dollars..uuuh jokes









Unaweza kukuta wakenya hiyo nayo hawawezi kulipa,kila siku wanakimbizana na mama mwenye kibanda,saundi nyingi hadi wanapewa notisi 🤣😀😀😀Kwa haraka haraka ni km
Tsh.3000=![]()
Nimeshangaa sana yn less than 2dollars?Unaweza kukuta wakenya hiyo nayo hawawezi kulipa,kila siku wanakimbizana na mama kibanda,saundi nyingi hadi wanapewa notisi![]()





Kenya yote ni uozo mtupu sasa haya maisha wanaoishi wakenya wa upande mwingine ni kama hao wanaoishi kibera wapo first world country.
Hiyo viva towers binafsi imeniboa sana, siyo kama nilvyotegemea wakati inajengwa, yaani nilitegemea angalau kuwe na restaurants, bars, cinema au mall ya aina fulani chini au juu lkn sioni chochote zaidi ya lijengo lote kuwa na wapangaji na kila kitu ni kwa ajili ya wapangaji tu, kwangu mimi sioni manufaa yake labda kwa wanaoishi humo, hilo eneo tumelipoteza kabisa Wananchi wa Dar, ...


..hawa jamaa wameingia kwnye Kumi na nane wenyewe
...yaani wametishia kujamba, wazee tumekunya kabisa.
, Kama navyoona Wakenya Roho zinavyo wauma wakiona Rwanda Air na Ethiopia inavyo vuna tu abiria wanaokuja TZ kutoka Kenya

...Kimya Kimya namsikia Kagame jaman JPM shikiria apo apo nipate abiria




yaani aibuuu... mnaliua wenyewe shirika lenu kwa Roho mbaya zenu kama kisu cha Ngariba, Alafu uku sisi midege ya watalii inazidi kushuka, na kwa style hii imeonesha Hatuitaji KQ, mlikuwa mnahujumu hadi watalii wetu...ona foleni za ndege KIA na Julius Nyerere, jana KIA kuna mshikaji wngu anasema ndege zilishuka mpaka wakasema watakosa parking maana imevunja record ya kitaifa kupokea ndege kwa mpigo kiasi kile. Kenya ukiyataka ya POPO sharti ujue kuning’inia


KQ c ndoHivi KQ bado wamepigwa kabali hakuna kutua TZ eeh..hawa jamaa wameingia kwnye Kumi na nane wenyewe
...yaani wametishia kujamba, wazee tumekunya kabisa.
Yaani unampigia JPM alafu haupatikani, Kama navyoona Wakenya Roho zinavyo wauma wakiona Rwanda Air na Ethiopia inavyo vuna tu abiria wanaokuja TZ kutoka Kenya
...Kimya Kimya namsikia Kagame jaman JPM shikiria apo apo nipate abiria
Wakenya mnatishia kujamba kumbe mnaharishayaani aibuuu... mnaliua wenyewe shirika lenu kwa Roho mbaya zenu kama kisu cha Ngariba, Alafu uku sisi midege ya watalii inazidi kushuka, na kwa style hii imeonesha Hatuitaji KQ, mlikuwa mnahujumu hadi watalii wetu...ona foleni za ndege KIA na Julius Nyerere, jana KIA kuna mshikaji wngu anasema ndege zilishuka mpaka wakasema watakosa parking maana imevunja record ya kitaifa kupokea ndege kwa mpigo kiasi kile. Kenya ukiyataka ya POPO sharti ujue kuning’inia
![]()





KQ c ndo
Kenya Quarantine???![]()


..hyo Kali...hawa majamaa walitufanya kana kwamba tunahitaji sana huduma yao ya KQ hivyo wakataka kutugeuza geuza watakavyo