babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,307
- 35,736
[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hizi ni direct flights? Kumbe marketing ilikua ndogo sana issue ya corona yaani yale mapapai na mbuzi yameboost Tanzania kujulikana[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1528224
Daah,sio kwa uchafu huu..mpaka mbunge akistaafu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Hawa wajamaa wakimtamani Magu ni Haki yao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunya na kuoga iko apart![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi watulie ili mimba iingie vizuri.Hivi KQ bado wamepigwa kabali hakuna kutua TZ eeh[emoji23][emoji23][emoji1787]..hawa jamaa wameingia kwnye Kumi na nane wenyewe[emoji1787][emoji1787]...yaani wametishia kujamba, wazee tumekunya kabisa.
Yaani unampigia JPM alafu haupatikani[emoji1787][emoji1787], Kama navyoona Wakenya Roho zinavyo wauma wakiona Rwanda Air na Ethiopia inavyo vuna tu abiria wanaokuja TZ kutoka Kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...Kimya Kimya namsikia Kagame jaman JPM shikiria apo apo nipate abiria[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya mnatishia kujamba kumbe mnaharisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani aibuuu... mnaliua wenyewe shirika lenu kwa Roho mbaya zenu kama kisu cha Ngariba, Alafu uku sisi midege ya watalii inazidi kushuka, na kwa style hii imeonesha Hatuitaji KQ, mlikuwa mnahujumu hadi watalii wetu...ona foleni za ndege KIA na Julius Nyerere, jana KIA kuna mshikaji wngu anasema ndege zilishuka mpaka wakasema watakosa parking maana imevunja record ya kitaifa kupokea ndege kwa mpigo kiasi kile. Kenya ukiyataka ya POPO sharti ujue kuning’inia[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu hii ni per week au inakuaje mana ni km ndoto [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1528224
💪🇹🇿[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1528224
Hii ingelikuwa ni kenya wangeishafungulia uzi jamaa ni washamba hakuna mfanowe.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1528224
😆😆😆 mkuu masikini akipata matako hulia mbwata na wange vimba ajabu wajinga hao.Hii ingelikuwa ni kenya wangeishafungulia uzi jamaa ni washamba hakuna mfanowe.
lazima wakimbie makwao maana ,,,civid inatishia...nyingine hii hapa Asubuhi Leo KIA
Aisee watalii wanatiririka kwa wingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mikwecheWamekaa kimya wanadhani hatujui.
Heeyyy!!!!! lingine hilo limeanguka juzi j3[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndege ya Jeshi la Kenya yaanguka Somalia, Habari Tatanishi ZaibukaView attachment 1527558
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1528224
Mbn naiona Kenya Quarantine tena vp apo mkuu au cjaelewa!!
Kama vile naliona game la draft Magu vs Kenyata, Magu amekaa anasubiria nyang'au ajichanganye huku Kenyata anaona kete kama zina moto vileHivi KQ bado wamepigwa kabali hakuna kutua TZ eeh[emoji23][emoji23][emoji1787]..hawa jamaa wameingia kwnye Kumi na nane wenyewe[emoji1787][emoji1787]...yaani wametishia kujamba, wazee tumekunya kabisa.
Yaani unampigia JPM alafu haupatikani[emoji1787][emoji1787], Kama navyoona Wakenya Roho zinavyo wauma wakiona Rwanda Air na Ethiopia inavyo vuna tu abiria wanaokuja TZ kutoka Kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...Kimya Kimya namsikia Kagame jaman JPM shikiria apo apo nipate abiria[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya mnatishia kujamba kumbe mnaharisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani aibuuu... mnaliua wenyewe shirika lenu kwa Roho mbaya zenu kama kisu cha Ngariba, Alafu uku sisi midege ya watalii inazidi kushuka, na kwa style hii imeonesha Hatuitaji KQ, mlikuwa mnahujumu hadi watalii wetu...ona foleni za ndege KIA na Julius Nyerere, jana KIA kuna mshikaji wngu anasema ndege zilishuka mpaka wakasema watakosa parking maana imevunja record ya kitaifa kupokea ndege kwa mpigo kiasi kile. Kenya ukiyataka ya POPO sharti ujue kuning’inia[emoji16][emoji16][emoji16]
🤣 🤣 🤣 Ila madongo ya wabongo si mchezo. Hata matusi ya kiswahili sidhani kama yana mpinzaniInabidi watulie ili mimba iingie vizuri.
Mbn naiona Kenya Quarantine tena vp apo mkuu au cjaelewa!!
Kenyatta hana jinsi zaidi ya kuomba msamaha tu mana KQ ni ya mabeberu ila yeye na familia yake wanakula 10% so ni lazima akubali yaishe cz hasara itakayopata kq ni ya beberu na beberu hataki kuckia kuhusu hasara "the real loss kwa kukosa routes za Tz" mana loss wanayotangaza kila siku huwa ni ya kukwepa kodi but hii ya ss ndo loss yenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]Kama vile naliona game la draft Magu vs Kenyata, Magu amekaa anasubiria nyang'au ajichanganye huku Kenyata anaona kete kama zina moto vile
Akibana anaua shirika la ndege, akikubali basi ataudhihirishia ulimwengu kuwa TZ ndo baba lao kwenye maamuzi
Atcl hyo au vipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1528224