Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamekaa kimya wanadhani hatujui.
Heeyyy!!!!! lingine hilo limeanguka juzi j3

Ndege ya Jeshi la Kenya yaanguka Somalia, Habari Tatanishi Zaibuka
Screenshot_2020-08-05-08-51-51.jpeg
 
Jana nilikuwa na soma gazeti la Uhuru ....Kamwelwe aliwapa interview nilipenda msimamo wake........ anasemaje...” notes ya shirika la anga bado haija futwa” ....aliendelea sema ....”ni kweli nilipokea simu kutuka kwa waziri wa mambo ya usafiri wa kenya lakini haikuwa mawasliona rasimi ya kiofisi”......ali hitimisha ....”tunawasubir walete taarifa rasimi ya kiofisi ....na tuta wakumbusha wao ndio walikuwa wa kwanza kuvunja makubaliano ya kwanza tulio fikia awali kwa madreva wa malori.........na kisha ndio taratibu za kufuta notes ya kutokutua kwa KQ zitaanza fatwa ili notes ifutwe”....
Hii imekaa sawa sana.
 
@komora096 bora nikutumie DVD muvi za dj rufufu zilizo tafsiriwa kwa kiswahili ujiunge na timu yetu ya san kayumba primary skuli mbona timu yetu inafanya vizuri hapa afrika siunaona kiongozi wetu ni magufuli yupo juu kuliko wasomi wa sant slave da Cruz primary skuli, tazama huyo raisi wenu msomi wa sant slave mvuta bange ikulu
Is it ok to ignore a nacissist
 
Back
Top Bottom