Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

6D6C6BB3-9694-49CD-BF37-42CF56177428.jpeg
 
Iyo barabara wangap wana taarifa nayo zaidi. ..View attachment 1525869
kaka hii barabara bado haijawekewa uzito wa kutosha kwa sasa!!!!imetengewa pesa kidogo sana kwenye budget 2020/21 tena kwa ajili ya upembuzi, Tafuta hotuba ya bajeti ya mh. waziri nenda kwenye kiambatanisho namba 1,utaona wameigawanya mara mbili,sema ni barabara muhimu sana maana kwenye proposal ya JICA wameipropose kama ndo outer ring road ya jiji la Dar es Salaam na wameeleza umuhimu wake kwa msisitizo.Pia mimi naifuatilia sana ikiwemo na ile Toll road Dar-Chalinze expressway hii nilifikiri wameitoa kabisa baada ya kukosa wawekezaji ila bado ipo ikiwa na bajeti kiduchu kbs wadau walisanda baada ya SGR kuingia katikati.Mambo ya speculation.
 
Safi sn, ila angelikuwa mshenzi mmoja anaitwa Teargass mngelikesha hapo, hii lugha ni ya wazungu imekuja tuu huku ss tusijifanye tunaijua sn, ni km wao ilivyo kiswahili hawawezi kukijua sn kuliko cc.
Yah!!kuna vitu vidogo vidogo km hivi hata si vya kupigishiana kelekele..
Watu hupitikiwa na hukosea pia
 
Back
Top Bottom