Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
lameck odhiambo ebu nenda ukagoogle tanzania nzima ziko slums ngapi then tuje kulinganisha na idadi za slums za kenya
Wewe ni wa Mbeya!?
ti huyo naye ni mwandishi,aisee kumbe kenya vilaza sio hawa tu wa jamiiforums...kumbe kuna wenginemwaka huu tutaitwa kila aina ya majina... Magu alichowafanyia kenya sio poa [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1524713
Hii ndo Tanzania mpya....hatuishi kwa matakwa ya mtu..sio magharibi sio mashariki,hiyo ni Torati yetu.Maneno kitoka kwa mabwana wa watu flani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...kelele zote mr ambarssador hana barakoa....Tz raha snaaaaView attachment 1525265
Mambo ya Mpira is not your forte sweetheartKumbe hujui kitu wewe..
Achana na vijana wa kisomali, wabajuni na waswahili uwanjani wewe..
Ni vile tu hao jamaa wengi huachia katikati career zao
KCB ni kenya commercial bankDah..kumbe KCB ni bank ya wakenya.
kweli alikuwa anakuchoshaMambo ya Mpira is not your forte sweetheart
Mara ya Mwisho mimi kujadili Mpira na mtoto wa Kike ilikuwa ni miaka kadhaa nyuma wakati nakaa Geto, Ilikuwa ni Mechi ya Man United na Arsenal, Ilikuwa hivi,
Demu: Baby Hiyo kadi ya Njano inamaana gani?
Mimi : Hiyo ni Onyo,
Demu: Na Nyekundu?
Mimi : Maana yake Ni adhabu haruhusiwi kuendele na Mchezo, anatakiwa atoke nje ya uwanja kabisa na inaweza kuambatana na adhabu nyingine,
Demu: Na ya Kijani je?
Mimi: Hakuna kadi ya Kijani, Ni njano na Nyekundu pekee,
Demu: Na Huyu mzee ni nani? Mbona anahangaika hatulii?
Mimi: Huyo ni Manager wa Arsenal, anaitwa Aresene Wenger
Demu: Kwaiyo wa Manchester United anaitwa Manchester Wenger?
Mimi; Hapana, anaitwa Alex Fergusson
Demu : Baby nataka Arsenal washinde Kombe la Dunia,
Mimi : Nikatoka nikaenda zangu pub Kuangalia kipindi cha Pili na Wana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Few kms from that place ni uharo wa slums km unabisha nikuwekee hapa uone ila km haubishi tuache lipite kmy kmy [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndoto yako nzuri sanaMambo ya Mpira is not your forte sweetheart

Kumbe waitambua[emoji23][emoji23]Dah..kumbe KCB ni bank ya wakenya.
One side walk ndio nini[emoji23][emoji23]Ndio hiii one sidewalk...only in kunya.....ushuz toka upperhillView attachment 1525316View attachment 1525317
UufffFunua gauni nikuonyeshe.
Mbna basi malls kenya zimetapakaa km watumiaji sio wengiYour priorities are so efd up..
More than 80percent of your Population can't even afford that lifestyle ...yet you are here cheering for your father buying visitors expensive liquor when you don't have food in house... Crap.
Ingia google utafute zngine tenaUpunguani hauwez kukuisha....View attachment 1525293
Baby vp tushamalizana pale kisirani au co[emoji3][emoji3][emoji3][emoji8][emoji8]Ingia google utafute zngine tena
[emoji23][emoji23][emoji23] so you wana go throuth that cheap angle[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upperhill have sidewalk only on oneside of the road[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji1666]One side walk ndio nini[emoji23][emoji23]
Hata google pia kwanza itamaka
Uchaf nyie hata kuoga ni shida...mana km upperhill ..ndio hii ma maji ya madum vipi nyie wa mathare ,je wale wa kubera au soweto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382]Ingia google utafute zngine tena
Lazima nikusimulie sweetheart, toto la Mombasa..001Ndoto yako nzuri sana
Few kms from that place ni uharo wa slums km unabisha nikuwekee hapa uone ila km haubishi tuache lipite kmy kmy [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]