Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Kwaground mambo ni difference[emoji23][emoji23][emoji23] ilo shirika la stima ni kuntuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaground mambo ni difference[emoji23][emoji23][emoji23] ilo shirika la stima ni kuntuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, kweli ni kenya commercial bank ila sidhani kama ni bank ya manyang'au. Ni hilo jina tu kenya ila kwa ground inaweza kuwa different.Kumbe waitambua[emoji23][emoji23]
KCB ni kenya commercial bank
Hivi n vitu vya kufugwa sio natural....ki kawaida Black Rhino huwa aggressive sana,pia eye site ni mbaya sana...rare sighting sana asogelee magari..ila uko kwenu kila kitu ni artificial..mpaka kuna orphanage ya Tembo..waongo wakubwa na matapeli.
Baby vp tushamalizana pale kisirani au co[emoji3][emoji3][emoji3][emoji8][emoji8]
Hivi n vitu vya kufugwa sio natural....ki kawaida Black Rhino huwa aggressive sana,pia eye site ni mbaya sana...rare sighting sana asogelee magari..ila uko kwenu kila kitu ni artificial..mpaka kuna orphanage ya Tembo..waongo wakubwa na matapeli.
[emoji23][emoji23] kuna wakora wa kutosha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kumbe (Matured Middle Finger) nao wanaiba Side Mirror? Angalia ilivyopigwa Pini kwenye Gari la Mwisrael.
View attachment 1525626