Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baada ya kubana sana mchumba kaachia tunaelekea Getto....


Yn serikali ya Kenya imeonesha udhaifu mkubwa mbele ya Wakenya, na ss wamegundua kuwa who is a Father in this region, lkn pia hata WaTz wamegundua kuwa wanaishi katika nchi inayotegemewa mno ukanda huu kwamba cc ni wafalme ukanda huu, naskia fahari sn kuzaliwa nchi hii.

Kudadadeki tuliwatolea nje wazungu (barrick) na wakaja kupiga magoti yn wao walitoka kwao na raisi wao wakaja bongo kupiga magoti na wakakubali tunachotaka ndo itakuwia nyie Wakenya tunawalisha asbh mchn na ucku?

Yn Magu amenifundisha mengi sana kwakweli, amenifundisha jinc ya kuishi na washenzi pia amenifundisha nithamini na kujivunia changu daima [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wajua Bongo kuna architecture nzuri kwa building kadha. Ila mpangilio hakuna. Kama hapa. Ona Morocco Square, ona barabara nzuri, lakini hebu angalia kandokando. Nairobi yaweza kuwa na Slum lakini zina mahali pake sio kila sehemu ilivyo Dar
Ni kwasababu hayo ni maendeleo mapya, miaka 7 iliyopita hayo maghorofa hayakuwepo.
Sehemu nyingi Dar huwa hivi, hata kando ya Posta karibu na bahari huwa na wavuvi na wamechafua eneo hilo ajabu. Sehemu kama hizi huharibu taswira ya jiji hili la Dar es Salaam
Tanzania kuna demokrasia ya hali ya juu kwenye kuachia watu kujitafutia riziki. Hatuna ma cartel wakuzuia watu wadogo wadogo kufanya biashara.

Hayo maeneo ya posta ya zamani yalikuwa ni sehemu za kupumzikia, sasa hivi fukwe imefungwa. Eneo hilo liko kwenye mpango wa kuimarishwa, ila kwakuwa bado mikakati haijaanza, ndio maana kunaonekana hivyo.
 
Hehehe!!yani kitu ambacho nyangau hapendi ni kujitekenya ili aingie forbes..
Kw mfano tu, nenda katika jaribu la forbes uone km utamkuta jimmy wanjigi
Kumbe mnajijua kwamba nyie ni manyang'au [emoji3][emoji3]
 
Raha kama zote..[emoji1241][emoji1241]moyo wangu!
 
Mkuu yale masoko hawajajengewa sokwe mkuu.
 
fact....mkuu[emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…