Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii thread nadhani ndio inaoongoza kwa kutumia storage space kubwa kwenye server za jf maana mapicha picha na videos ni nyingi sana tangu huu uzi uanzishwe. Hivyo tunaomba wakenya mpunguze kurudia rudia kupost picha za majengo ili tusijaze server za watu bure kwa hizo repeated photoz. Musi si mrefu kuna alert ya storage limit kwa hii thread itakuja toka kwa jf admin.
Mwingine anakuja na Vijengo vya Floo 6
Hahaha Sasa tukianza kupost hivyo
Kariakoo kuimaliza ni Miaka 6
 
kwani server ni yako?
railway towers..westlands..NAIROBI
1596127006882.png
 
Angalia Wakenya wanavyotuheshimu mpk jeshi lao linatumia nyimbo ya msanii wetu, #Ali Kiba 'seduce me' Tz baba laooo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Magufuli mwenywe kawahwahimu sauti sol pia[emoji23][emoji23]
Hapo vipi..tema povu sasa
 
Back
Top Bottom