Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_0081.jpg
 
Upper hill ndio mlinganishe na vile vijiji vyenu uchwara kwa miundombinu jamani

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app

, humu sio kijijini? Hivi hawa watembea kwa miguu wanapita wapi hapo Mighty CBD???? , yaani hata wapenzi hawana nafasi ya kushikana mikono vizuri .

This is from your Video. Bado sana Aisee. Kama hii ndio unasifia hivi, na kuna mtu juzi alikua anasifia pavemnet blocks nyekundu mnazoweka sasa hivi CBD, Duh. Komora pole sana , Kwa standard hii.

IMG_0088.jpg
 
nilisoma sehem kuwa raia wanaweza kuingia au kutoka Russia (kwenda) kwa nchi kama mbalimbali, Tanzania ikiwepo.. kuna jamaa akauliza kwani kuna direct (scheduled) flight ya kutoka Russia kwenda Tanzania, akajibiwa hamna, ila kuna chartered flights.. so it seems kuna watalii wa Russia wanakuja Tanzania

pia mnakumbuka kulikuwa kuna wale 25,000 tourists kutoka Russia wanakuja Tanzania & Zanzibar kwa magrup (500-1000 tourists).. bas inaonekana wanataka kuirudisha
 
Russia and Israel are Tanzania Emerging Markets . so wanachofanya Israel mara kwa mara na Russian wanakuja pia.
Traditional Markets kama German, US , Italy etc.
 
nilisoma sehem kuwa raia wanaweza kuingia au kutoka Russia (kwenda) kwa nchi kama mbalimbali, Tanzania ikiwepo.. kuna jamaa akauliza kwani kuna direct (scheduled) flight ya kutoka Russia kwenda Tanzania, akajibiwa hamna, ila kuna chartered flights.. so it seems kuna watalii wa Russia wanakuja Tanzania

pia mnakumbuka kulikuwa kuna wale 25,000 tourists kutoka Russia wanakuja Tanzania & Zanzibar kwa magrup (500-1000 tourists).. bas inaonekana wanataka kuirudisha
Kingine kipindi hiki tutapata watalii wengi kutoka Russia maana kwenye search engine ya kule kwao searches kuhusu Tanzania zimeongezeka na hapo kwenye kusearch utakuta pia wameangalia na vivutio mbalimbali vinavyopatikana Tz.

Yani wabongolala akili zenu zilipotelea wapi jameni....hapo unajaribu kuamisha watu ni kutoka cbd hadi Westlands.sasa nakupa the whole Westlands cbd peke, ambayo ni kubwa na inahatua (km) same kama hiyo ya kutoka posta hadi makubusho na bado nimetumia fastest routeView attachment 1517054
we hata shule ulisoma kweli??!!..uliona wapi ukubwa ukapimwa kwa kms?
 
unamdangany nani ? Ww upperhill ni slum tena hapoo kwailo jengo ...wadangany wajingaView attachment 1517669View attachment 1517670
Wabongo hupenda kujifariji. Using photos during construction. Halafu kung'ang'ania eti. Hayo mabati ni perimeter ya construction. Na kibanda cha wauza chips kwa hao mafundi.

Sasa hapo mahali Upperhill kunakaa hivi
IMG_20200721_160452.jpg

Barabara nyingi sahi zinakamilika Upperhill.
IMG_20200721_161927.jpg

It has taken only 4 years to bring a Sandton competitor from scratch.
 
Back
Top Bottom