Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii kitu inawakosesha sn confidence [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu huwa unakuwaga na sindano flani hv za beautiful nurse yn ata akikupiga mkuki maumivu yanakuwepo ila sura yake inakufariji [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani hapo mkisikia wanasema Dar is Big ndio hapo, na yule mkenya aliye wahi kuzoom eti 2000ft ajifunze kuwa hiyo ni zooming tu, lkn angalia how distance is big toka CBD posta to CBD Makumbusho, hapo kuna tower 3 huwezi ziona ziko Ubungo huko, ila Nairobi yote iko hapo mwendo wa mguu tu hahaha,, TUNAWACHEEEEKI..., na bado Kibaha ishaungana na Dar hahahaaa
 
Yaani 65Km within a city, Yaaani tunaweza hata tuka ruka na ndege hahahaha kwani Dar to zenji ni Km ngapi hahahaaa,
 
Hzo mbili utanunua kwa 1000kshs km upo Tz na co kenya haitoshi hyo hela n that's why we are talking of PPP.
Hku tu wale jamaa wa vikali uchwara akimaliza 1000ksh km dishi halikuyumba sijui..
Ije bongo, kisha tena sijui hyo nyagi yenu...
We una mchezo sana
 
Huu uchafu sioni chakufananishia kwa dar sorry...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimetafuta nimekosa
Hahaaa!!sasa mdio ilkua unataka upafananishe na uswazi..ningelikushangaa, hzo ni residentials buda[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Ukinionyesha residentials kw ukubwa huu tz yote na log off jf mimi[emoji382][emoji382][emoji382]
[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…