Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia mji ulivyo hovyo plan mbovu kabisa aisee.
Hahahah,skia huyu mpoko,unaweza dhani kwao ni London,, ona nyie ni uswazi tupu
images - 2020-07-26T084821.449.jpeg
 
Heheheheheeee nyie Wakenya mnaoamini kuwa Tz inaficha ukweli kuhusu corona ni km mnajichosha, huku watu washasahau kabisa kuhusu huo ugonjwa, mfano jana nilikwenda kwa mchungaji Mwamposa aisee hilo nyomi lake co mchezo na asilimia 99% ya watu pale hatukuvaa barakoa wala ushuzi wa barakoa na safi tu mixa kupeana mikono km kawaida japo maji na sanitizer vilikuepo nje lkn asilimia kubwa ya watu walikuwa hawanawi wala nn, tangu hapo ndo nikaamini kweli Mungu ni wa miujiza sn.

Ss nyie endeleeni kutoamini kwamba Mungu ni muweza na hii dunia ni mali yake lkn matokeo yake mtazidi kuyaona, Museveni na Uganda yake wameishajisalimisha, Malawi nao ni the same ss nyie endeleeni kufuata kanuni za WHO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kusema kweli japo road zenu ni za miaka mingi na kweli kwa kipindi hicho zilionekana za kisasa but hazivutii kabisa, just imagine hapo umeipiga make up za kutosha lkn inaonekana hivyo.
No make up,na pia hio design ya "matofali"hupendeza sana
 
Ukinionyesha residentials kw ukubwa huu tz yote na log off jf mimi[emoji382][emoji382][emoji382]
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1516990
Hii slums uku Tz hatuna izo labda uebde burundi unaweza batisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uku vipo vilivyo planned kama hivi[emoji116] sorry[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]
2407658_tapatalk_1588389991510.jpg
 
Hahaaa!!sasa mdio ilkua unataka upafananishe na uswazi..ningelikushangaa, hzo ni residentials buda[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Uswaz tena wakat hapo ni ushuzi bora kibera[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382]
 
Back
Top Bottom