Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema dah huyu mwamba nilimuona wa kawaida, kumbe ana mchango mkubwa sana... mpka inafika wakenya wanamshukuru kuwanusuru na vita baada ya uchaguzi ama kweli mchango wake ulikuwa ni mkubwa.. Pumzika salama mzee [emoji1488]
View attachment 1515966
Daah,baba hichi ni kichwa kikuu...hiyo diplomasia hapo kichwani Africa level yake ni Kofi Anan na TM kwa mbali.
 
Heheheheheeee huu mwaka huu Wakenya wengi wanahisi km tumeonga kwenye organizations za kimataifa mfano IMF, ILO, WHO, FAO, WB n.k ili watupendelee kwenye takwimu mana kila zikitoka tupo mbele yao, mm huwa nasema humu Wakenya wengi wame rely on outdated statistics ambazo wkt ule tulikuwa ni km the sleeping Giant but now tuko macho hawatii fitna tuko nao jino kwa jino na imebaki GDP ushuzi tu tukiipiga chini hiyo tunapandisha bendera yetu rasmi ya kwamba wakoloni wapya wa EA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hii thread ingekuwa na profile picture .. hii ningeiweka as dp [emoji23][emoji23] ili isomwe vizur [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unatak wakuny watowek kbisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
afu kuna mtu jana sijui leo alileta tweet ya twitter anatusimanga hatupo kwenye list ya nchi yenye chakula kingi.. naomba atagiwe hapa ili aisome vizur hili bango [emoji23][emoji23]
Akili ndogo hawa mapimbi tu alikuj n vitarifa uchwara apa
 
Yn kwakweli nimejifunza Magu co mtu wa kawaida yn Magu tunayemuangalia kwa macho yetu haya cvyo tunavyomuona yn ni mtu mwenye IQ kubwa sana pengine kushinda hata hao kina Enstein wanaosema ndo viumbe wenye IQ kubwa, yn hayo wanayoongea wazungu leo Magu aliyaongea miezi kadhaa nyuma na akasisitiza wakija muwagonge bei kisawasawa, eti wazungu ndo wanaona leo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakulima wa tanzania wategemee hela za matumizi na pia zitawainua kimaisha kutoka kenya... tayari pochi limetuna tunasubiria walalahoi walime ndio tununue
 
Ni mavivu mnoo cz km covid-19 hata kwetu ilikuwepo ss iweje wao ndiyo njaa iwapige af cc itupitie mbali?
Ingia google utafute kampuni za wakenya bongo[emoji23][emoji23]
Then ufanye vice versa alafu urudie tena hyo kauli yako kw sauti
 
Heheheheheeee huu mwaka huu Wakenya wengi wanahisi km tumeonga kwenye organizations za kimataifa mfano IMF, ILO, WHO, FAO, WB n.k ili watupendelee kwenye takwimu mana kila zikitoka tupo mbele yao, mm huwa nasema humu Wakenya wengi wame rely on outdated statistics ambazo wkt ule tulikuwa ni km the sleeping Giant but now tuko macho hawatii fitna tuko nao jino kwa jino na imebaki GDP ushuzi tu tukiipiga chini hiyo tunapandisha bendera yetu rasmi ya kwamba wakoloni wapya wa EA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu ukiletewa takwimu unaanza kulia lia[emoji23][emoji23][emoji23]
Ama orodhesha hvo vitu na mimi ni orodheshe then tuone nani kapigwa bao
 
Sema dah huyu mwamba nilimuona wa kawaida, kumbe ana mchango mkubwa sana... mpka inafika wakenya wanamshukuru kuwanusuru na vita baada ya uchaguzi ama kweli mchango wake ulikuwa ni mkubwa.. Pumzika salama mzee [emoji1488]
View attachment 1515966
Warundi pia wanamjua!

Mwai Kibaki said, "In his retirement, Benjamin Mkapa, at some point or other, mediated peace talks in Kenya, the DRC Congo, Zimbabwe, South Sudan and Burundi. Mkapa most certainly played his role in making Africa a better place. May he rest in eternal peace," .
 
Wakulima wa tanzania wategemee hela za matumizi na pia zitawainua kimaisha kutoka kenya... tayari pochi limetuna tunasubiria walalahoi walime ndio tununue
Kweli pochi zimetunaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]maskini wa kutupwaa
JamiiForums-478453858.jpg
JamiiForums1222409569.jpg
JamiiForums-1253823242.jpg
 
alaf hwa ndio wanajiita sijui tuna GDP kubwa ushuzi mtupu😂😂😂😂

Akili ndogo kweli, GDP inazuia natural calamity?, ndio maana tuna uwezo wa kununua, nyie masikini kishenzi hamuna uwezo wa ku donate, wakulima wenyu fukara hohe hahe hawatapata hela ya kununua ata chupi, mko ovyo zaidi ya mnavyo jua. Ardhi inaficha uchi wenu. Poverty stricken populace EAC na SADC.
 
Back
Top Bottom