Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa sasa 98%ya WaTZ wanatumia nishati ya ges majumbani.
Kadanganye fala wenzio,watu washindwe kutoa 21,000 ya kuunga umeme vijijini afu aje atoe 20,000 au 50,000 kila mwezi kujaza mtungi? Ndio maana nawachukia nyie maccm kwa uongo kama huu
 
Mapilot wa atcl kabugia konyagi View attachment 1514971
We jamaa ni jinga sn, hv unadhani Tz ni failed state km kenya mandege ya mitumba yanaanguka anguka hovyo?

Hizo mambo zilikuwa kitambo huko kipindi kile Tz ya wapigaji a.k.a ldc but now Tz ni nchi ya viwanda a.k.a MIC kila kitu kipya ndege mupya kabisa na zinanunuliwa in cash basis, ss wewe fala baki na ujinga wako ukisubiri mabalaa Tz mwishowe yanawarudia ninyi wenyewe pumbavu.

unaleta ajali ya 2012 unataka kuaminisha umma kwamba ni ya hv karibuni ndo nn ss, be fair bwege ww.
 
BREAKING: Number of confirmed COVID-19 cases hits 15,601 after 796 more test positive from 6,754 samples tested in the last 24 hours
Wala usitaje jina tushajua ni nchi gn hiyo.

watajua hawajui [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom