Kweli kama level yao ni Ku rent dormitory hatuwezi wafikia , maana uku watu wana own land na wana build houses za ndoto yaoAm yet to see anything spectacular from tz apart from swahili! nimefuata hii thread tokea mwanzo! bado tz haiko level ya kenya, ukweli ni kua kazi iko kwa kasi., but not yet there! mungekua na gdp kubwa kulingana na vile munapiga domo humu! dar bado, lakini inakuja kwa kasi., zanzibari ni kwa waswahili wazembe na washamba, wageni wanao tembea kule ndio wanachangamsha mji.
Yani Tanzania raha sana imagine una tengeneza nyumba unayotaka ukae na family yako
Poor Kenyan wanaishi dormitory na wanalipa rent kwa dormitory lord
Imagine mwanaume wa Kenya hana mawazo ya kujenga Nairobi yy mawazo ni kuishi dormitory ya ndoto zake akiwa na mke wake , na ndio maana wanawake wana wachapa sana wanaume wa Kenya maana hawana mawazo ya Ku own land wala house
Its humiliation kwa wanaume wa Kenya na GDP kubwa yao