hiyo underground ipo murang'a road juu ya globe flyover kilomita chache ukiwa una toka river road.
siku zote nilikuwa nadhani hiyo nayo ni thika highway kumbe ni murang'a road.
FYI hakuna nchi yoyote ya EA sijawahi fika kasoro south Sudan tu.
UG,Rwanda,burundi,zote nimeshatembelea.
nairobi nimeishi miaka minne mpaka nikapata manzi wa kimeru nikawa naishi naye kama mke wangu.
huyo manzi nimezaa naye mtoto wa kiume, a very handsome and intelligent baby boy.kwa kifupi iam your brother inlaw,you should respect me.
endelea kubaki hapo kibera uki-comment jf.