Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unaweza ukapata but of a very lower quality.naifahamu nairobi vizuri kijana.huna la kunidanganya.

halafu Nina wasiwasi wewe unalala sitting room.
Ety low quality??? Wewe hujui Nairobi.... Places like Donholm,Fedha,Tassia,Nyayo estates have quality and affordable apartments you'll never see in Dar
 
Yaaani watanzania ushamba hadi lini?? hauna aibu kuweka these trucks hapa! ndio munaziona kwa mara ya kwanza Tanzania!! guys hii thread has proved Tanzania kweli ilikua imelala na nyuma, we passed those long ago, had and even vandalized some! ile wakati ya manispaa(municipalities), now we are in county governments, maendeleo kila eneo, we have finished 5 years now na mabadiliko kila upande kenya umeonekana, miaka ingine tano tutakua wapi? nyinyi mabadiliko kubwa ni Dar pekee!! kwingineko ipo lakini duni!
kama munazo leta hapa sio porojo
 
angalia epz kenya, kisha linganisha! stop being a blind patriot kama Annael na kakake Ichoboy01, wakiona kitu kizuri tz wanaamini ndio sasa! tumewapiku kenya.., hii thread has exposed to me Tanzania ya sasa, mnashangazwa na maendeleo chache, zingine tulifanya kitambo, na kutegemea mtandao!! tembeeni mjionee wenyewe!!
hayo mawazo yako ndio maana nikakwambia kenya kuna maskini wengi sana na ardhi kwa maskini ni ndogo sana
kama maendeleo machache yakwenu yakwapi kama hayo?????????
 
next .......
...njaa
fc69284d07601dffd77ac27ce5eb4d53.jpg
 
Ety low quality??? Wewe hujui Nairobi.... Places like Donholm,Fedha,Tassia,Nyayo estates have quality and affordable apartments you'll never see in Dar


ni wivu tu.....it's only Tanzanians who pretend not to love our city.This is probably the most modern pure black African city.....south Africans don't consider themselves Africans that's why they maim and kill their fellow Africans.Sisi hapa Kenya we welcome anyone who needs a livelihood from any African nation. Nairobi is simply unstoppable. .....kwanza watanzania wamejaa gikomba na muthurwa market. wanatambua pesa ina circulate Nairobi kwa kasi sana
 
Meza machungu sportpesa sai inatishia Tz vibaya sana
wameona kuna friendly investment environment ambayo itawapatia fauda ndio maana wakaja.
mbona hawendi somalia?

tz ni kisiwa cha amani,ndio maana wawekezaji wengi hupakimbilia.

yoyote anakaribishwa kuja kajaribu bahati yake.hata wewe ukipata business capital tunakukaribisha kuja wekeza.
 
Back
Top Bottom