ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Punguza ukali budaa😀😀😀😀musitulazimishie siasa zenu. tukiwa na haja nazo tutakuja Jukwa La Siasa
Siasa kwetu zilishaisha sasa ni kazi tu
Punguza ukali budaa😀😀😀😀musitulazimishie siasa zenu. tukiwa na haja nazo tutakuja Jukwa La Siasa
Am yet to see anything spectacular from tz apart from swahili! nimefuata hii thread tokea mwanzo! bado tz haiko level ya kenya, ukweli ni kua kazi iko kwa kasi., but not yet there! mungekua na gdp kubwa kulingana na vile munapiga domo humu! dar bado, lakini inakuja kwa kasi., zanzibari ni kwa waswahili wazembe na washamba, wageni wanao tembea kule ndio wanachangamsha mji.Jamaa wanaumia sana😀😀😀😀
nawashangaaga sana waksnya wanaposema eti sisi ni ligi ndogo...kisha nawacheka kwa dharau ....hawaijui tz...Jamaa wanaumia sana😀😀😀😀

punguza jazba basi.musitulazimishie siasa zenu. tukiwa na haja nazo tutakuja Jukwa La Siasa

😀😀😀😀 mbona unatapika hvoAm yet to see anything spectacular from tz apart from swahili! nimefuata hii thread tokea mwanzo! bado tz haiko level ya kenya, ukweli ni kua kazi iko kwa kasi., but not yet there! mungekua na gdp kubwa kulingana na vile munapiga domo humu! dar bado, lakini inakuja kwa kasi., zanzibari ni kwa waswahili wazembe na washamba, wageni wanao tembea kule ndio wanachangamsha mji.
mr. john smith from UK,where have seen this in EA?.Am yet to see anything spectacular from tz apart from swahili!
off topic kidogo:
hatimaye mzungu a-surrender kwa rais wa tanzania.
wakati marais wa nchi nyingi za afrika hususani kenya hupenda kwenda ulaya kulamba miguu ya wazungu,mzungu John L. Thornton ambaye kiwadhifa ni Mwenyekiti wa kampuni kubwa duniani linalojishughulisha na uchimbaji madini,barrick gold corporations,leo amekuja tanzania na ndege yake binafsi ku-resolve the ongoing mining conflict with our president, Dr John Magufuli.
![]()
![]()
hii haijawahi kutokea nchi yoyote EA.kama iliwahi kutokea,basi ni zamani sana isipokuwa tanzania.
ikumbukwe JPM,tangu awe rais,hajawi kuwa na kiherehere cha kwenda ulaya kujipendekeza kwa wazungu kama anavyofanya Uhuru kenyatta au kama alivyofanya jakaya kikwete,mpaka watz tukampa jina Vasco da gama the explorer.
asante sana jpm kwa kurejesha heshima ya mtz.wazungu watakuja wengi sana kutubembekeza round hii.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Am yet to see anything spectacular from tz apart from swahili! nimefuata hii thread tokea mwanzo! bado tz haiko level ya kenya, ukweli ni kua kazi iko kwa kasi., but not yet there! mungekua na gdp kubwa kulingana na vile munapiga domo humu! dar bado, lakini inakuja kwa kasi., zanzibari ni kwa waswahili wazembe na washamba, wageni wanao tembea kule ndio wanachangamsha mji.

Karafuu hotel znz
Dar es salaam. State of the art automatic road sweepers trucks. Nairobi it will take years to have oneView attachment 524048
View attachment 524053View attachment 524054View attachment 524053View attachment 524054
Poa usijali kaka mzigo huo
Fumba town under construction
Project of azam owner
View attachment 524062 View attachment 524063 View attachment 524064
Poa usijali kaka mzigo huo
Fumba town under construction
Project of azam owner
View attachment 524062 View attachment 524063 View attachment 524064
View attachment 524065
View attachment 524067
