Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ongoing construction of Eldoret by-pass. Kenya is building these kinds of roads everywhere around the country.

Ec8QhLhX0AA-Rzq.jpg
Ec8QhWxWkAURgI0.jpg
Ec5SC2jWoAEoCKm.jpg
Ec5SBz8WkAcy8R0.jpg
 
Najua utumizi wa Wi-Fi unakushtua.
Lakini ulaya Kenya Wi-Fi kwa nyumba ama ofisi ni jambo la kawaida.
In fact hapa hatutumii bundle.

Pengine mwaka 2030 bongo pia mtapata fibre na router za kuleta Wi-Fi nyumbani, kwa speed za ajabu.

Leo hii samahani naona speed ni slow kidogo hapa kwangu.

Speedtest by Ookla - The Global Broadband Speed Test

View attachment 1509313
Kadanganye nyanya yako....endelea kutumia vya bure sabab umaskin mpka kwenye kalio...brainless
 
Kenya ni jumba la makumbusho kweli kweli, mfano mpk leo kuna;

1. chai maarage,

2. madege ya first world war na bado yanapiga route,

3. usafiri wa baiskeli ndani ya CBD,

4. vivuko vya tangu enzi za mwalimu,

5. treni za kutumia kuni

Hebu jionee mwenyewe ukipenda ungana na mm tukafanye utalii[emoji116][emoji116]View attachment 1509361View attachment 1509362View attachment 1509364View attachment 1509367View attachment 1509369
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah kweli aisee
 
Kenya ni jumba la makumbusho kweli kweli, mfano mpk leo kuna;

1. chai maarage,

2. madege ya first world war na bado yanapiga route,

3. usafiri wa baiskeli ndani ya CBD,

4. vivuko vya tangu enzi za mwalimu,

5. treni za kutumia kuni

Hebu jionee mwenyewe ukipenda ungana na mm tukafanye utalii[emoji116][emoji116]View attachment 1509361View attachment 1509362View attachment 1509364View attachment 1509367View attachment 1509369
Hii ndo mordern state,,,,,twendeni tukatalii.
 
JUNE PROJECT

0-19km bado madaraja..na earthworks
70-90km ruvu hapa ndo kazi kubwa na ngumu imebaki
130-170km hapa pia kazi kubwa imebaki

Niko.optimistic lakini sidhani kama yapi anamaliza hii kazi december..maybe february 2021..

Overall wamefanya kazi nzuri lakini..hizi mvua za kuanzia september -november might slow things again

Goverment should not give phase 3 ..Mwanza -Isaka kwa hao yapi unless wamemaliza phase 1 on time...they should just sign na contractor wengne hata kama ni wachina if price ni nzuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 5yrs for 173km.
Tanzania is a joke
 
Back
Top Bottom