Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Kipindi iki kiangazi kwaio kazi zinakimbia balaa.Aisee this time wako faster ajabu.....nimekubal![]()
Am sure your vehicles use electricity too hence they don't pollute the environmentWhat..you want us to pollute our enviroment with Disel locomotives...for a superior rail its worth it hata kma 10 yrs
The thing is you know little about the projectAm sure your vehicles use electricity too hence they don't pollute the environment
Kama 173km Inawachukua 10yrs then GDP gap na Kenya tunawapiga ×3 from the current ×2 maana tutakua tumebeba mizigo na abiria wengi sana in 10 years time.
Am sure your vehicles use electricity too hence they don't pollute the environment
Kama 173km Inawachukua 10yrs then GDP gap na Kenya tunawapiga ×3 from the current ×2 maana tutakua tumebeba mizigo na abiria wengi sana in 10 years time.
Aii,kitu ya less than 100,000$ USD unapost ya nini hapa??ona hii new 2020 BMW x6 , ya maina kageni ya more than 108,600$ USD,,one and only in east and central Africa
Kwenye technology ya ujenzi Tanzania hatuna mpinzani ukanda huu
The only reason any rail in the world is built ni kubeba abiria na mizigo. Cha muhimu tunabeba abiria na mizigo tena kwa haraka kuliko zamani kitu ambacho Tanzania haijaweza kufanya 4 years later.Nyie ki reli chenu ni kuweka tuta na kuweka reli basi, Tz Sgr kuna welding, wire pulling, bts building, power line building, signaling etc,
Kama na nyie mtaweka umeme maana yake heee kazi mnayo kujenga upya hahahaa
Tanzania diesel MGR pia inabeba abiria na mizigo na hiyo yenu ni upgraded mgr wapo same whatsapp group.Cha muhimu tunabeba abiria na mizigo. Something Tanzania is yet to do.
Sina wasi wasi as long as kazi inafanyika, but wazo lako ni zuri wapewe wengine ili kuongeza ufanisi lkn mkuu wachina wkt mwngne ni wajanja wajanja ujue, wanaeza kuwapigia kazi mkaona ni nzuri kumbe chaka 2yrs tu rail hoiii.0-19km bado madaraja..na earthworks
70-90km ruvu hapa ndo kazi kubwa na ngumu imebaki
130-170km hapa pia kazi kubwa imebaki
Niko.optimistic lakini sidhani kama yapi anamaliza hii kazi december..maybe february 2021..
Overall wamefanya kazi nzuri lakini..hizi mvua za kuanzia september -november might slow things again
Goverment should not give phase 3 ..Mwanza -Isaka kwa hao yapi unless wamemaliza phase 1 on time...they should just sign na contractor wengne hata kama ni wachina if price ni nzuri
We nae ka chokoraa hebu niambie mradi umeanza lini mpk itimie hyo 5yrs, yn huoni aibu.5yrs for 173km.
Tanzania is a joke
We malaya. Ebu niambie tangu lini mgr na SGR zikafanana huoni unaogopa kufikiria.We nae ka chokoraa hebu niambie mradi umeanza lini mpk itimie hyo 5yrs, yn huoni aibu.
Usinipe tabu ya kuanza kutafuta picha hii battle ya gari kali tulishawachapaAii,kitu ya less than 100,000$ USD unapost ya nini hapa??ona hii new 2020 BMW x6 , ya maina kageni ya more than 108,600$ USD,,one and only in east and central Africa
View attachment 1509649View attachment 1509650View attachment 1509651





Inferiority complex, nmetaja mgr hapo au unawashwa washwa.We malaya. Ebu niambie tangu lini mgr na SGR zikafanana huoni unaogopa kufikiria.