Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nije kuangalia diesel train wkt kwetu kuna ya umeme ntakuwa timamu kweli

Hii ndio treni ya umeme?
sg.JPG
 
Ndo kama hivyo bundle kwangu lipo muda wote sema nikutumie pesa ya bundle kwa maana saa hii upo unagongea Wi-Fi

Najua utumizi wa Wi-Fi unakushtua.
Lakini ulaya Kenya Wi-Fi kwa nyumba ama ofisi ni jambo la kawaida.
In fact hapa hatutumii bundle.

Pengine mwaka 2030 bongo pia mtapata fibre na router za kuleta Wi-Fi nyumbani, kwa speed za ajabu.

Leo hii samahani naona speed ni slow kidogo hapa kwangu.

Speedtest by Ookla - The Global Broadband Speed Test

saf.JPG
 
Hii ndio treni ya umeme?
View attachment 1509309
Usijitie wehu mwanga wewe. Hiyo ni treni ya Mkandarasi Yapi Merkezi. Hata logo yao ipo kwenye hiyo treni zoom tu Utaona. Usidhani nchi yetu ni mbovu kama yenu.....mnapanda mahindi mnavuna viazi. World class infrastructure my ASS
2F307F49-A3F4-4F7F-AC91-96DA1312A80D.jpeg
84573C4B-C7FC-4CFD-9776-DF5F41B4EC13.jpeg


Wtf is this??😂😂😂
C8A6057C-A940-4273-A69D-25E03D81CE22.jpeg
 
Kenya ni jumba la makumbusho kweli kweli, mfano mpk leo kuna;

1. chai maarage,

2. madege ya first world war na bado yanapiga route,

3. usafiri wa baiskeli ndani ya CBD,

4. vivuko vya tangu enzi za mwalimu,

5. treni za kutumia kuni

Hebu jionee mwenyewe ukipenda ungana na mm tukafanye utalii
tapatalk_1588488432512.jpeg
tapatalk_1589481040685.jpeg
tapatalk_1594985693176.jpeg
tapatalk_1586381770317.jpeg
tapatalk_1594917749874.jpeg
 
Back
Top Bottom