Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_9744.jpg
 
Okay, acha tutaona updates za ujenzi vile muda unaenda.

But you guys again mmechemsha sana, siku hizi watu hawajengi mabarabara ya juu. Ni old fashioned hiyo. Kwanza zina haribu view ya mji na kushusha thamani ya majengo kule inapita. Saiv watu wamejikita kwenye BRT na Trams ili kupunguza congestion na matumizi ya private vehicles barabarani.

Niliwaambia humu, watu sasa hivi wanajikita kujenga Public infrastructures za kufacilitate public transport wao wanajenga madaraja ya kulipia toll wakati Nairobi watu wanasafiri na vipanya, ngoja sisi tumalize BRT zetu wenyewe wabaki wanapigwa toll na mchina huku wakijazana kwenye vipanya alafu wataona impact yake.
 
Tulisema humu tukianza uzinduzi itakuwa tunazindua mwaka mzima, ilianza Ubungo interchange, ikaja Dodoma bus terminal, mara zikaja terminals ndogo ndogo quality ambazo nyingi hatuziweki humu so huu msumari ndo unaofuata na wasiseme hatujawaambia, hii ndiyo tofauti ya Nairobi terminal na hili Tanzanite [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo si wa kwanza omba omba kutoka Tanzania wamejaa miji ya Kenya, sishabikii binadamu mwingine akipitia matatizo kama hayo ila nyie kwa kupenda kuishi in denial mnaonesha mlivyo wapuzi na wanafiki
Kuomba Tanzania ni kosa la jinai, huko Kenya mnaruhusu ndio sababu wanakuja huko. Kama ambavyo Tanzania tumepiga marufuku biashara ya Mirungi wakati huko Kenya mumeruhusu, msitulazimishe tukubali kitendo cha ombaomba barabarani.
 
Kuomba Tanzania ni kosa la jinai, huko Kenya mnaruhusu ndio sababu wanakuja huko. Kama ambavyo Tanzania tumepiga marufuku biashara ya Mirungi wakati huko Kenya mumeruhusu, msitulazimishe tukubali kitendo cha ombaomba barabarani.
Hivi nchi yao haina sheria ya kuwaondoa?

Mbona wanalia lia ovyo na wasiwaondoe!

Halafu kumbe wakenya ndio wanawatumia kwa kuwawafanya vitega uchumi vyao.
 
Kufukuza msichana shule kwa sababu za kijinga alafu unasingizia mzungu??[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania kuna women right movements kweli ana kuna neno kama women empowerment?? Nawahurumia sana Watu wa jinsia ya kike Tanzania
mimba unaitaje ni sababu ya kipuuzi kufukuzwa shule???mko serious na masomo ya watoto kweli nyinyi??

au huko kwenu sababu ya kuachishwa masomo ni ipi!!!!
 
Back
Top Bottom