Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya msichangae tupo finishing hapa.

Screenshot_20200710-191256.jpeg
Screenshot_20200710-191249.jpeg
Screenshot_20200710-191304.jpeg
Screenshot_20200710-191315.jpeg
Screenshot_20200710-191334.jpeg
Screenshot_20200710-191342.jpeg
Screenshot_20200710-191349.jpeg
Screenshot_20200710-191401.jpeg
 
Hatari sana, yaan uyu Archtect shikamoo...,kitu cha Tanzanite kimeshuka kama kilivyo...TZ tunajenga SGR at the same tunajenga na vivutio vya stesheni zetu.

Nimeona render ya ile stesheni ya Dodoma na yenyewe ni Msiba. Sijui uyu Archtect wamewatoa wapi ukiacha Company yaan wale individuals they must be genius in architectural field.

Wakenya wamejengewa Temples zile za Mabhuza, Ngazi nyingi...kama mtu ushaona zile Movies za Shaolin utanielewa. Unakuta Kashaolin kanafanya mazoezi ya kuruka ngazi za temple uku amebeba mitungi ya pombe ndo walichojengewa wakenya.
 
Station ya Dodoma itakuwa balaa. Na yenyewe treni zitapita juu. Big up kwa JPM kwa kutuletea miradi ya kimkakati.
2DA1BA4E-6711-4653-94F9-3D4D487C51B8.jpeg
 
Hatari sana, yaan uyu Archtect shikamoo...,kitu cha Tanzanite kimeshuka kama kilivyo...TZ tunajenga SGR at the same tunajenga na vivutio vya stesheni zetu.

Nimeona render ya ile stesheni ya Dodoma na yenyewe ni Msiba. Sijui uyu Archtect wamewatoa wapi ukiacha Company yaan wale individuals they must be genius in architectural field.

Wakenya wamejengewa Temples zile za Mabhuza, Ngazi nyingi...kama mtu ushaona zile Movies za Shaolin utanielewa. Unakuta Kashaolin kanafanya mazoezi ya kuruka ngazi za temple uku amebeba mitungi ya pombe ndo walichojengewa wakenya.
mkuu sijui uliwaza nini eti mitungi ya pombe na mazoezi ya kuruka ngazi
 
Hatari sana, yaan uyu Archtect shikamoo...,kitu cha Tanzanite kimeshuka kama kilivyo...TZ tunajenga SGR at the same tunajenga na vivutio vya stesheni zetu.

Nimeona render ya ile stesheni ya Dodoma na yenyewe ni Msiba. Sijui uyu Archtect wamewatoa wapi ukiacha Company yaan wale individuals they must be genius in architectural field.

Wakenya wamejengewa Temples zile za Mabhuza, Ngazi nyingi...kama mtu ushaona zile Movies za Shaolin utanielewa. Unakuta Kashaolin kanafanya mazoezi ya kuruka ngazi za temple uku amebeba mitungi ya pombe ndo walichojengewa wakenya.
.
Hahaha, dah,kaka umenivunja mbavu,wachina mitungi.umefikiria sana.
 
Hatari sana, yaan uyu Archtect shikamoo...,kitu cha Tanzanite kimeshuka kama kilivyo...TZ tunajenga SGR at the same tunajenga na vivutio vya stesheni zetu.

Nimeona render ya ile stesheni ya Dodoma na yenyewe ni Msiba. Sijui uyu Archtect wamewatoa wapi ukiacha Company yaan wale individuals they must be genius in architectural field.

Wakenya wamejengewa Temples zile za Mabhuza, Ngazi nyingi...kama mtu ushaona zile Movies za Shaolin utanielewa. Unakuta Kashaolin kanafanya mazoezi ya kuruka ngazi za temple uku amebeba mitungi ya pombe ndo walichojengewa wakenya.
😀😀Mchina mshenzi sana, kila alipotoa mkopo wa sgr kaweka matemple yake. Nimeyaona tena nigeria
 
Back
Top Bottom