Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

semeni tuu ukweli kua aliolewa na mkenya sjui sheria zenu za uhamiaji lkn kama aliolewa Kenya its obvious ni mkenya
angekua bongo wala asinge dhalilika hivo

na hii iwe funzo kwa Wadada wa ki bongo hawa nyan'gau sio wema
Huyo si wa kwanza omba omba kutoka Tanzania wamejaa miji ya Kenya, sishabikii binadamu mwingine akipitia matatizo kama hayo ila nyie kwa kupenda kuishi in denial mnaonesha mlivyo wapuzi na wanafiki
 
Wataelewa tu hatakam viziwi....mambo ya ADB
Screenshot_20200710-111704.jpg
 
Tena ni uchumi na wala sio show off? Where do you stand? As for the economy, Kenya`s GDP is $100b while Tz is $62b, our budget is $30b while yours is $15b which 50% of it is funded by grants and donations. Hiyo mkataba wa Expressway mbona inawauma? Iwe mbovu or wise it`s ours, we don`t share it with Tanzania.
Tatizo ni sekunde tu kuanza kuongea pumba leta ushaidi Tz badget ni 50% grants...acha upoyoyo
 
Hahahaha u r lying to urself, yn mTz akimbie nchi hii aende kenya yn hujisikii ww mwenyewe kwmb unaongopa mchana kweupe, yn mtu atoke kusiko njaa akimbilie ukame, kenya mnaongoza kwa ukosefu wa ajira kuliko Tz, kenya kuna njaa, kenya kuna magonjwa ya kila aina zaidi ya Tz, kenya kuna slums everywhere, Kenya kuna ukabila ambapo Tz hamna, ni mTz gn atachagua kenya zaidi ya Tz labda awe mentally disabled hata ww mwnyw unajua hilo.
Angalia mwandiko wake utajua hata yeye yupo TZ mwl au gardener
 
Back
Top Bottom