Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuachisha msichana shule sababu ya kupata mimba ni ujinga. Na magufuli ni mjinga kwa kufanya ivo. Huku Kenya hakuna option kama kuacha shule ni either uko shule ama uko shule.
Community policing yenyewe haitakubali ukae bila kwenda shule chief mwenyewe atakukujia. Somesheni wadada zenu jamani.

Huyu mjinga wenu rais magufuli mwenye nundu kichwani atawaachia maafa tu.
Ss huyo anayezaa ni mwanafunzi au mama, kaenda kusoma au kusomea dushe, km akipata mimba ni lazima afukuzwe kila kitu kina sheria zake na lazima ukubali km unataka kuwa padri sharti ucwe na mtoto na km unataka kuwa sister sharti uwe bikra, ss unawezaje kutaka yote?

Ukijiona unahamu ya kuwa mzazi vua sketi baki na watu wazima wenzako mana huku Tz mifumo ya elimu ipo mingi co mpk ukae darasani au usome Govt school, Magu anakataza watoto wa Govt school kupata ujauzito na co kwmb kakataza wasisome.
 
Kuachisha msichana shule sababu ya kupata mimba ni ujinga. Na magufuli ni mjinga kwa kufanya ivo. Huku Kenya hakuna option kama kuacha shule ni either uko shule ama uko shule.
Community policing yenyewe haitakubali ukae bila kwenda shule chief mwenyewe atakukujia. Somesheni wadada zenu jamani.

Huyu mjinga wenu rais magufuli mwenye nundu kichwani atawaachia maafa tu.
Hii tabia ya kutukana rais wa nchi yetu iwe mwisho hapa.jikite kwenye hoja zenye akili.

Mtoto kupewa mimba anaacha shule mara moja,atajaribu kutimiza ndoto zake kwa namna nyingine,na yeyote atakayeshikwa kutembea na mwanafunzi ni miaka 30 jela.hatuwezi ruhusu uhuru wa kipuuzi namna hiyo.shule tunaandaa wataalam sio wazazi.

Huko Kenya ndio maana kitoto mlicheza mpaka porn na mbwa,juu si mambo ngeni mmechoka na za binàadam.
 
Kuachisha msichana shule sababu ya kupata mimba ni ujinga. Na magufuli ni mjinga kwa kufanya ivo. Huku Kenya hakuna option kama kuacha shule ni either uko shule ama uko shule. Community policing yenyewe haitakubali ukae bila kwenda shule chief mwenyewe atakukujia. Somesheni wadada zenu jamani.

Huyu mjinga wenu rais magufuli mwenye nundu kichwani atawaachia maafa tu.
Unajua uhuru ukizidi sana mwanadamu mwisho ni majanga, hvi mtoto atiwe mimba akiwa shuleni alaf arudi shuleni kwanza unawafundisha nn wanafunzi waliobakia mashuleni? Unafkiri kutakua na masomo hapo wakat tayar huyo mtoto ana majukumu mazito mbele yake , na serekali ya tanzania haikumfukuza ila imemtaftia elimu mbadala kwasababu hata kimawazo aliepata mimba na asiena mimba hawawezi kua swa hata siku moja wala hili halitaki ramli mark my words.
 
cheza na kibiriti👇👇👇
21ED1C8C-877E-4CB4-96F7-AFBEBCECC8C1.jpeg
 
Kuachisha msichana shule sababu ya kupata mimba ni ujinga. Na magufuli ni mjinga kwa kufanya ivo.
Huku Kenya hakuna option kama kuacha shule ni either uko shule ama uko shule.
Community policing yenyewe haitakubali ukae bila kwenda shule chief mwenyewe atakukujia
Somesheni wadada zenu jamani.
Huyu mjinga wenu rais magufuli mwenye nundu kichwani atawaachia maafa tu.
Hivi kuna jambo ambalo Kenya mnafanya sahihi?, hivi kuna watu wapumbavu na wasiokuwa na akili kama Kenya?, kuna rais mvuta bhangi na mpumbavu kama Uhuru Kenyatta?, kila kitu sasa hivi mnaiga Tanzania, hata hili la Mwanafunzi kupata mimba pia mtakubaliana na kuiga Tanzania, wapumbavu wakubwa ninyi, hata akili hamna, kila kitu lazima muige nchi zingine bila kutumia akili zenu.
 
Kuachisha msichana shule sababu ya kupata mimba ni ujinga. Na magufuli ni mjinga kwa kufanya ivo. Huku Kenya hakuna option kama kuacha shule ni either uko shule ama uko shule.

Community policing yenyewe haitakubali ukae bila kwenda shule chief mwenyewe atakukujia. Somesheni wadada zenu jamani. Huyu mjinga wenu rais magufuli mwenye nundu kichwani atawaachia maafa tu.
We buda acha kumtukana Magu, hayo maamuzi hajayafanya mwenyewe bali ni kutokana na maadili ya jamii yetu na hata hao wanaompinga hiyo hoja wakipewa nafasi ya kusimama kama yeye watafanya the same usifikiri kakurupuka tu. Na sio kwamba wanakosa elimu kabisa bali wanapewa elimu ambayo wataweza kumudu muda huku wakilea.

Sisi elimu yetu hata ukiendekeza mahusiano bila kuzaa unafeli na nyie mngepewa mitaala yetu mngefeli kichizi na ndio maana ni rahisi mtu kusoma kenya au uganda na sio Tanzania
 
zile chai maarage hzi hapa
View attachment 1503473

Halafu wanafurahia toll road ya 27km . Hivi vipanya navyo vitapita toll road? Yaani hapo hawajaangalia priorities hata huko kwa wazungu wanakoshangilia wako busy kuboresha public transport . Hivi 27km ya barabara ya juu inaweza jenga kilomita ngapi za BRT? Huko nje tunaona hata baadhi wa viongozi wanatumia public transport kwa sababu vinaenda haraka . Huu ni uamuzi mwingine wa kuchekesha kwa kenya na hila hiyo hiyo ingeweza jenga hata BRT ya kupunguza kero karibia Nairobi yote
 
Back
Top Bottom