Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,173
- 29,788
Wakenya jichungeni na hiyo kitu mnajitenga wenyewe na EAC wenyewe msije anza kulialia pale nchi jirani zitakapo wakazia kulinda masoko yaoSoon kitaeleweka
View attachment 1501771
Wakenya jichungeni na hiyo kitu mnajitenga wenyewe na EAC wenyewe msije anza kulialia pale nchi jirani zitakapo wakazia kulinda masoko yaoSoon kitaeleweka
View attachment 1501771
Hiyo kenya land act ni makaratasi tu reality is your stupidPropaganda ya CCM naona imetamba ubongolala kabisa na kuwafanya mazuzu.
According to Kenya Land Act. Any Kenyan citizen can own land anywhere in Kenya.


Wapi katiba yenu imeruhusu ikulu ya raisi kuwa geto la kuvutia bangi ? Lakini sasa ikulu yenu inanuka bangi tupuTangu lini matamshi ya msanii yakakua kiegezo cha katiba?
Kwani ukifikiria hua unaumwa na ubongo?
Pilipili ama ukwel? So unacheka nn wakat mmepave only 10% of your entire network?usiwe falaPilipili usiolia mbona inakuwasha ndugu yangu? Eti mitandao yetu ina vumbi?![]()
That's laughable to say the least. Anyway, can you share with us the total length of paved roads in Tanzania so that we can compare notes tuone ni wapi ndio pana vumbi
Here we are in the battle and when I say Tz is doing well I mean when the term battle is concerned, all of us know it.Where have I said that TZ is not doing good? The problem with most of you is that you think life begins and ends in Tanzania. That other countries are immune to development. That's a very stupid way of looking at things. It even gets worse when you discredit projects in other countries and even call them show off while you glorify lesser projects in your own country and think they look better and greater than projects found in other countries. Isn't that epitome of jealousy?
Tena sikuisema vizuri.....jibwa koko weweManayako ndo mbwa
Ni kwasababu huwezi fananisha Tz na kenya kwa ss, nyie uchumi uko hovyo kwa ss huo ndiyo ukweli au unabisha kwamba uchumi wenu hauko ovyo? Watu wanafukuzwa kazi kila siku, mashirika yanafeli kila uchwao kwasababu ya uchumi kuwa mbovu, pia historia ya serikali yenu imekuwa ikiingia mikataba mibovu na ndiyo maana tunawatahadharisha muwe makini.Ingekuwa Tanzania ndio inajenga hiyo expressway ungeskia venye wanjisifu hapa. So because it`s Kenya, the story has changed to showing off.
Wakenya ni wapumbavu sn ss mantiki ya kupost iyo picha ni nn? Hata kama ni kweli huyo ni mTz je kenya hamna wenye shida km hizo? Yani mmekuwa desperate kiasi kwamba mpo radhi kumdhalilisha mkenya mwenzenu ili tu mlidhike na nafsi zenu, huo ni unyama uliopitiliza, Wakenya wenye matatizo zaidi ya huyo dada ni wengi mno hata tukisema tuwapost hapa hawawezi kutosha lkn ili mjisikie raha mkaona mumdhalilishe mkenya mwenzenu poor you.
Nimekuuliza je mpo tayari kuuza nchi kwa ajili ya tolls.Show off km ile pale ubungo kando kando uswazi kuruka![]()
Bibie nataka nikuhamishe kule kisumu ndogo slum,uko tayari?Show off km ile pale ubungo kando kando uswazi kuruka![]()
Nenda google zimejaa kibaoKulikua kuna uzi wa nyimbo za zamani za Bongo Fleva. Kama kuna mtu anaweza ni quote nitashukuru.
Natafuta nyimbo hizi hapa
1. Nuruchiko- Kumfukuza mpenzi eti kisa binti
2. P funky ft Dully Sykes- please forgive
3. Nature ft Ngwear na KR- Msela
4. Mandojo na domokaya- Dingi
Nyimbo za Imam Abbas na Saigon
Natanguliza shukrani za dhati
Tena ni uchumi na wala sio show off? Where do you stand? As for the economy, Kenya`s GDP is $100b while Tz is $62b, our budget is $30b while yours is $15b which 50% of it is funded by grants and donations. Hiyo mkataba wa Expressway mbona inawauma? Iwe mbovu or wise it`s ours, we don`t share it with Tanzania.Ni kwasababu huwezi fananisha Tz na kenya kwa ss, nyie uchumi uko hovyo kwa ss huo ndiyo ukweli au unabisha kwamba uchumi wenu hauko ovyo? Watu wanafukuzwa kazi kila siku, mashirika yanafeli kila uchwao kwasababu ya uchumi kuwa mbovu, pia historia ya serikali yenu imekuwa ikiingia mikataba mibovu na ndiyo maana tunawatahadharisha muwe makini.
Issue za kuombea mikopo,hapo inasetiwa IMF itoe mpungaUle jamaa mwenye nundu kichwani alikataa wasichana wajawazito wasirudi shule. In Kenya we do it different. Kila MTU ana haki. View attachment 1502573
Huyo ni omba omba wa mtz who happened to be suffering from that disease by the way. Ingekuwa huyo ni mkenya na mwenye alimsaidia ni mtz mngeshafungua thread by the wayWakenya ni wapumbavu sn ss mantiki ya kupost iyo picha ni nn? Hata kama ni kweli huyo ni mTz je kenya hamna wenye shida km hizo? Yani mmekuwa desperate kiasi kwamba mpo radhi kumdhalilisha mkenya mwenzenu ili tu mlidhike na nafsi zenu, huo ni unyama uliopitiliza, Wakenya wenye matatizo zaidi ya huyo dada ni wengi mno hata tukisema tuwapost hapa hawawezi kutosha lkn ili mjisikie raha mkaona mumdhalilishe mkenya mwenzenu poor you.
Sijakataa ila hapo IMF pesa lazima iwatoke 😃Msichana ata apate mimba 10 ana haki ya kusoma.
Ukipata MTU yeyote anakwambia otherwise anakosa ubinadamu.