Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afrika tatizo ni umaskini mkuu ndiyo maana watu wanakuwa wanafki.
 
Some Kenyans really annoy me...when u go to twitter, fb and other platforms, anything they talk about Kenya is negativity alone.it's time we start appreciating what our government have done so far and pray for more
 
Hii ndio rangi halisi ya wakenya ukiona nyingine ujue ni unafiki [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo kulingana na mawazo yako Tanzania ni heri kushinda Cuba na Croatia?[emoji23][emoji23]View attachment 1489707View attachment 1489708
Habari za vijiweni au? Leta link ya world bank sio porojo Susan.
Ccm nyie na kupika data ni kama chada na Pete.
Susan bado hujapata link ya world bank kua Tanzania inaingia middle income?[emoji23][emoji23]
Nilikwambia uachange porojo na kuongea vitu ambavyo unataka kuviskia wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…